Recent content by Mndeme jeremia

  1. Mndeme jeremia

    Chadema itikadi yenu ni nini??

    Hoja hujibiwa kwa Hoja.
  2. Mndeme jeremia

    Chadema itikadi yenu ni nini??

    Kuelekea Uchaguzi mkuu wa Serekali za Mitaa ambao unatarajiwa kufanyika Tarehe 27 Novemba Mwaka huu. Baada ya tafakuri ya kina, Kuna swali moja kubwa nimejiuliza kuhusu CHADEMA(Chama cha Demokrasia na Maendeleo). 1. JE NINYI NI WAUMINI WA ITIKADI GANI? Pamoja na mafanikio makubwa kisiasa katikA...
  3. Mndeme jeremia

    Tuimarishe somo la hesabu

    Bila shaka tunaweza kuwa mashahidi wa jinsi somo la HISABATI lina umuhimu katika Ulimwengu wa sasa, Utakubaliana nami kuwa Hisabati ndio nguzo muhimu katika maendeleo ya Sayansi na Teknolojia Duniani. Sasa tuje katika mfumo wetu wa elimu,,matokeo ya darasa la 7, kidato cha 2, na kidato cha nne...
  4. Mndeme jeremia

    PreGE2025 LGE2024 Vyama vya upinzani vijijenge kitaasisi na sio kusubiri uchaguzi na kuanza kuleta malalamiko

    Kumekuwa na Sintofahamu kuhusu mchakato wa baadhi ya vyama vya siasa kupata wawakilishi kuelekea uchaguzi wa serekali kuu na uchaguzi wa mwakani. Vyama vingi vya siasa vimekua vikilalamika wagombea wao kuenguliwa kwa kukosa sifa za kugombea kwenye Chaguzi hizo, japo madai haya bado...
Back
Top Bottom