Come on your sense gentleman. Hakuna kosa la kuzuia uchaguzi kwenye sheria zenu. Na mahakama haifanyii kazi perception za individuals or groups kwani siyo wote wanatenda kwa conscious mind.
Kusema yaliyotokea ni uthibirisho wa nia ya mtuhumiwa siyo sahihi kwani hata hivyo walioua wananchi ni...
Ila katusaidia sana kujua kuwa uchaguzi haukufanyika kwa sababu ya vurugu. Swali, je zile 98% zilitoka wapi wakati uchaguzi haukufanyika?
Mwaipopo chunga sana kwani unaodhani wamekuweka mbele kama spika watakushughuloloa maana umewasokomezea kaa la moto kunako!
Tangu uanze kuutafuta huo mkate umeweka store mingapi? Kama unayo mentality ya kutoka ndio ule, una tofauti gani na kuku? Wanaojielewa hawatafuti vy kuka leo bali miaka kumi ijayo. Acha uzwazwa!
Nawe ni mmoja wa wasioelewa! Wakuu wa vyombo vya dola wametimua mbio kuogopa maswali ya dodoso kutoka kwa Lissu na wangeaibika mno kwani ni weupe mno kwenye uwanja wa sheria na huenda wangemtaja bi mdashi kama mtoa amri ya kushoot to kill.
Igp angeulizwa aliyempa amri ya kutangaza hali ya hatari...
Hoja ina pande mbili,mbona wewe unaangaliq upande mmoja tu? Huuoni utovu wa nidhamu wa kingai kuidharau mahakama? Aliitwa na mahakama na siyo Lissu, hivyo alitakiwa apande kizimbani na kuyatamka maneno aliyomtamkia Lissu baada ya kuonana naye. Hakufanya hivyo na mahakama itatafsiri kama dharau...
Kuna mahala mtego umefichwa na wengi humu hamjaubaini. Kingai kaongelea man3no yale nje ya mahakama kwa maana ya kizimba na majaji hawakushirikishwq kwa maana ya kumwapisha.
Kwa maneno mengine kaidharau mahakama.
Hii technicality inakwenda kumwachia huru Lissu.
Hata hapo kisimkazi ni ughaibuni yakhe! Au zanzibar siyo nje ya nchi?
Wapo kwenye kikao kizito sana chini ya propesa wa majallani na huenda ijumaa dpp akamwaga unga!
Nashindwa kumwelewa dpp haki! Yaani kaamua kuwabagaza wenzake kisa tu hawana kinga.
Mwakitalu ondoaa hii kesi mahakamani upesi kwani kule hakuna siri itafichwa na hasa ukiwa na mawakili aina ya mrema ambaye hakawii kutoa boko!
Hawatakubauli kubeba ngunia la misumari waliyotwishwa na mteuzi wao...
Uwezekano ni mkubwa sana lakini kwa angleya mashahidi wake walioitwa na mahakama. Dpp akiliruhusu hili maana yake ameamua kumvua nguo bi mkubwa! Katuga na timu yake walitaka kuweka pingamizi lakini halitakuwa na mashiko na Lissu naya ataitaka mahakama imletee mashahidi wake wote kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.