Wabunge na madiwani wakihama Chama kumuunga mkono Rais mnalalamika kuwa wangemuunga wakiwa huko. Leo mh Lowassa kumpongeza Rais aaaH si msimamo wa Chadema.
Sasa naona hoja ya kimatiki kwa nini wanajivua vyeo kwanza.
Magufuli ndie rais. hauhitaji manukato kumfanya alete reha mzuri kwa watu. lakini fisadi unaona wana upwawa wanavyo tua misuri ya shingo kumsafisha japo hatakasiki abadani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.