Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,418
- 95,830
kama kuna kitu jk alibugi ni kusikiliza umbea umbea wa wapambe wake,
walifikiri wameuzima mziki wa lowassa kumbe ndio wameuwasha sasa kimbunga wakisubirie akianza kampeni, watatafutana mchawi,
Alishindwa kutumia akili za mbayu wayu