Recent content by mnalisa ndala

  1. M

    Katiba mpya hatutapewa kama zawadi, ni lazima tuidai nguvu

    TANGAZO “Jukwaa la Mwangaza kwa Vijana” (Youth Enlightment Forum-YEF) linawakaribisha vijana wote wanaopenda kujiunga na harakati ya kudai Katiba Mpya. Jukwaa litaandaa ziara kwenda mikoa mbalimbali ya Tanzania, Bara na Visiwani, kuelimisha umma juu ya umuhimu wa Katiba Mpya. Washiriki ni lazima...
  2. M

    Chuo cha Open University kimulikwe la sivyo kitashusha heshima ya Mizengo Pinda

    Waandishi wamulike tena wavizie orientation washuhudie mpango huo haiwezekani mtihani mmoja ulipie 15000 ni ghali kwa maana hiyo open ndio kitakuwa chuo ghali na kitaondoka kwenye lengo lake la kusaidia wanyonge
  3. M

    Waandishi wa habari na mkuu wa chuo na vyombo vya usalama mulikeni chuo kikuu huria ni janga

    MH. PINDA MKUU WA CHUO KIKUU CHA OPEN UNIVERSITY NA RAIS MAGUFULI MULIKENI UPIGAJI DILI WA UNAOFANYWA NA BISANDA AKISHIRIKIANA NA SERIKALI YA WANACHUO. Chuo cha Open ndio kilikuwa chuo kimbilio la Watanzania maskini waliokosa fursa kupata elimu ya juu, maana chuo hiki kilikuwa kikiwasaidia...
  4. M

    Chuo cha Open University kimulikwe la sivyo kitashusha heshima ya Mizengo Pinda

    MH. PINDA MKUU WA CHUO KIKUU CHA OPEN UNIVERSITY NA RAIS MAGUFULI MULIKENI UPIGAJI DILI WA UNAOFANYWA NA BISANDA AKISHIRIKIANA NA SERIKALI YA WANACHUO. Chuo cha Open ndio kilikuwa chuo kimbilio la Watanzania maskini waliokosa fursa kupata elimu ya juu, maana chuo hiki kilikuwa kikiwasaidia...
  5. M

    Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Kigoma Mjini

    Hili suala jana nimetembelea Katonga nimeona hamasa namna ya wavuvi walivojiwekea vikundi vyao na kujiunga na hifadhi ya jamii ili wapate sola na kuweza kuvua kisasa, nawapongeza sana mtakuwa mmewapunguzi wavuvi gharama za mafuta yalikuwa yanawaumiza sana
Back
Top Bottom