Recent content by MN2

  1. M

    Nashangaa wabongo wanaowashobokea wayahudi

    Je katika utafiti wako hujaona jema lao lolote uliseme?
  2. M

    Rungu la Magufuli latua Halmashauri ya Hai, 11 wasimamishwa kazi kwa ubadhirifu wa zaidi ya 512ml

    Ndiyo maana wamewagundua na kuchukua hatua. Jimboni Kwako kuko salama kiasi gani?
  3. M

    Hongera Ally Mwafongo Kwa kuchaguliwa kuwa Meya wa Mji wa Tunduma

    Huchoki kutukia masa...ri kuwazia ukabila zama za leo?
  4. M

    Hivi Zitto bado ana hasira na CHADEMA? Soma hii post yake

    Kumchanganya Mungu na za KIPUMBAVU kupitia udhehebu na udini hatima yake siyo njema kwa mustakabali wa utaifa ambao tunauhitaji sana.
  5. M

    Ada elekezi kwa Shule binafsi kutolewa Desemba 15 mwaka huu

    Mchakato huu hauendani na uhalisia. Tayari shuke binafsi zimeshakula hela na michango kibao kwa kupitia ksisingizio cha pre form one na kwa kuuuza application form ukurasa mmoja tu kwa sh. elfu ishirini au zaidi! Jipu linalochelewesha mchakato huu litumbuliwe
  6. M

    GE2015 Mgogoro wa UKAWA kuhamia bungeni, Antropia Theoneste akwaa Viti Maalum

    Mleta mada. Badilika kifikra na kimatendo. Inaboa sana. Hakuna ya maana zaidi kujenga taifa? kila leo kupiga chabo kwa majirani kwa nia ya kuwaongelea mabaya huchoki tu?pilipili usiyoila yakuwashia nini? Kasumba hiyk mbaya. Iko siku utajiUshia mabaya zaidi mwenyewe. Shimo unalochimbia...
  7. M

    GE2015 Mgogoro wa UKAWA kuhamia bungeni, Antropia Theoneste akwaa Viti Maalum

    Unafaidi nini kila leo kupiga chabo kwa majirani? Hata kama wana taabu pilipili usiyoila ya kuqaIa nini? kuna siku utajizushia mwenyewe. Shimo unalochimbia wengine utatumbukia mwenyewe. HAPA KAZI TU. Stop majungu.
  8. M

    UKAWA wasitisha kampeni nchi nzima ili kushirikiri mazishi ya Dr. Makaidi

    Njia bora ya kuenzi watu waliotenda mema ni kutatenda kwa bidii yale mema yao.
  9. M

    Inatosha: Tugeukie kuwaziana na kutamkiana mema hasa tunapoelekea kwenye uchaguzi na baada ya hapo

    Tanzania Tanzania, Nchi Nzuri sana, yenye mabonde mengi, mito, nafaka, wanyama, madini na utajiri kima kisichopimika. Tanzania nchi nzuri, Ulimpa Nini Mungu kukuneemesha hivyo? Tanzania Tanzania, watu wako husifika, duniani ni wapole, wanapendana wana umoja, Kiswahili ni alama, wengi...
  10. M

    UDIWANI KATA YA MIKOCHENI; Kwanini tumchague Venus Kimei 'Mama Langa'?

    Mama Kimei alika wanaokufahamu waeleze ulivyoshiriki kuboresha miundombinu ya jiji na usafi wake zama za Keenja, ulivyooongoza timu yako vizuri sana kutathmini umasikini wa Tanzania pamoja na huduma za Afya, pamoja na huko kwingine ulikopita. Wewe ni mfano wa Wanawake wanaoweza bila kusubiri...
  11. M

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    8:3 Basi, walimu wa Sheria na Mafarisayo wakamletea mwanamke mmoja aliyefumaniwa katika uzinzi. Wakamsimamisha katikati yao. 8:4 Kisha wakamwuliza Yesu, "Mwalimu! Mwanamke huyu alifumaniwa katika uzinzi. 8:5 Katika Sheria yetu Mose alituamuru mwanamke kama huyu apigwe mawe. Basi, wewe...
  12. M

    TBC FM na TBC Taifa zakosekana hewani Nje ya Nchi

    original.livestream.com/chademamedia pia haionekani
  13. M

    Humphrey Polepole live Channel Ten: Urais katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Kwa kuwa unafahamu fika kuwa ukanda hauungwi mkono na yeyote mwenye nia njeam na taifa hili, na kwa kuwa Itv tunaona wakirusha matangazo bila kusema kuwa ni kwa ajili ya kanda fulani, sasa unastahili kikweli kweli kuitwa mbaguzi, tena mwenye nia ovu kwa taifa hili ambalo waasisi wetu walifanya...
  14. M

    Yaliyojiri Mkutano wa Edward Lowassa na wanawake wa DSM kutoka Ukumbi wa Millenium Tower

    Uambie umma wa Tanzania unanufaika vipi kuibua mawazo ya kugawa watu kikanda? Pia ni udhalilishaji wa kijinsia kutumia neno majike kwa binadamu. Uhuru wa kutoa mawazo hautarajiwi kuchochea chuki za na utengaj watu kwa namna yotote.
  15. M

    Dr Hellen Kijo Bisimba: Mialiko ya hovyo usiikubali

    Wahenga walisema "Usikatae wito bali ukatae neno"
Back
Top Bottom