Recent content by mmwaka

  1. M

    JamiiForums Tanzania Taazia: Dr. Aman walid Kaburou na Manju Msambya

    Allah ampe Wepesi ktk Siku yake ya kwanza kaburini ya Barzak... Pia M/Mungu awape Moyo wa Subira Familia yake...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tangulia Lukuga, Dkt. Amani Walid Kabourou - Kinara wa Mageuzi ya Vyama Vingi Nchini. - Mwami Kabuyuki, Mwamba wa Kigoma

    Allah Amrehemu Mzee Wetu na Siku Zote alijitoa kusaidia ktk Kutetea Haki kwa Watu Wake Walioonewa...M/Mungu akusamehe kwa uliyotenda kimakosa kama Binadamu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Waziri Mwigulu Nchemba kuhusu tuhuma za kughushi vyeti vya taaluma, kuiba jina

    Historia yako ya Elimu ya msingi inaleta hisia sana...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona kiongozi strategic kama Rais Magufuli!

    Ndiyo asili ya wanasayansi huwa wanafanya Vitu kwa Vitendo...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Juvenal Habyarimana alilazimisha kurudi Kigali licha ya taarifa za kiintelijensia

    Ndiyo maana kikaitwa kifo... Dosari ama makosa lazima yafanyike ili ahadi ya M/Mungu itimie...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Dar es Salaam yafanikiwa kuingiza meli kubwa

    Wewe ulitaka washushe zote au... Siyo kila kitu mnaingiza
  7. M

    JamiiForums Tanzania Elizabeth Asenga afikishwa mahakama ya Kisutu kwa kumtukana Rais Magufuli

    Raisi ndiyo mkuu wa Nchi na Serikali... Wewe hata kama humpendi ndiyo Kiongozi wako... Mkosefu lazima apewe adhabu anayostaili...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Waraka wa Mbunge Elibariki Kingu kwa Wabunge CCM kuhusu fao la kujitoa

    Usiangalie upande mmoja wa shilingi ktk kutoa maoni, ss sote ni Wazalendo na Nchi yetu... Baada ya ubinafsishaji wa Viwanda na mashirika ya Umma uliofanywa kipindi cha Mh. Mkapa, Migodi na Viwanda vikubwa kama vya Miwa na Saruji Vinamilikiwa na Wawekezaji ambao ni wazungu, kuna watanzania...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Atiwa mbaroni kwa kushangilia mauaji ya polisi Mbande

    MTU kama huyu hana uzalendo na Nchi yake... Serikali iendelee kuwapatia mafunzo ya JKT wanafunzi wa Secondary ili vijana wetu waweze kuandaliwa kuwa Wazalendo na Nchi, Hali sio Nzuri tuacheni Mihemko Vijana wenzangu...
Back
Top Bottom