Recent content by mmolh

  1. M

    JamiiForums Tanzania Chuo

    Mhhhhhh
  2. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata ya mawasiliano ya shule

    Wabathibitisha kupitia tovuti au vp,,,,. Msaada pleas katika hili
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tarime teachers collage

    Ahhhh vp kuhusu suala la kuhakiki
  4. M

    JamiiForums Tanzania uhakiki

    Kwa wanafunzi waliochaguliwa vyuoni wanajihakiki au vp,,,,,na kama ndiyo wanajihakiki vp ma mwisho ln?
  5. M

    JamiiForums Tanzania COMMUNITY DEVELOPMENT

    Ahhhh mbona hao nao wanahitajika katika kuhamasisha uchumi wa viwanda
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tarime teachers collage

    Wanajamii ndugu yangu amechaguliwa chuo cha Tarime Teachers Collage Astashahada elimu ya awali sasa nilikuwa nauliza mwisho wa kuhakiki na vp kuhusu ada serikali kuna kaunafuu kanawapatia au ndo mzazi akomae,,,na vp mandhari
  7. M

    JamiiForums Tanzania COMMUNITY DEVELOPMENT

    Vyuo vipo vingi ila degree nazani kama Tengeru Institute of Community Development itakuwa poa
  8. M

    JamiiForums Tanzania Community development

    Mwalimu nyerere memorial academy
  9. M

    JamiiForums Tanzania Community development

    Anataka sheria,,,ila kama haiwezekan angependa kujua zinazorelate na zenye soko kwa sasa
  10. M

    JamiiForums Tanzania Community development

    Sawa mkuu,,,lkn kama una ufahamu kuhusu hilo ungenifafanulia ili kijana asipate tabu baadae na ajue atakachokuja kufanya mbeleni
  11. M

    JamiiForums Tanzania Community development

    Hv sociology kwa hali ya nchi ilivyo katika swala la ajira haisumbui
  12. M

    JamiiForums Tanzania Community development

    Wanajamvini ndugu yangu anahitaji msaada wenu,,,ana division 4 ya D 5 kidato cha nne na ana diploma ya community development sasa anahitaji kujua kama anaweza kujinga na degree ya sheria,,,kama ndyo ni chuo gan?
  13. M

    JamiiForums Tanzania COMMUNITY DEVELOPMENT

    Kwahyo swala la ajira zake zipo nyingi na hata private pia unaweza kuapply
  14. M

    JamiiForums Tanzania Degree ya sherIa

    Wana jamii hivi unaweza kujiunga na degree ya sheria ukiwa na diploma ya community development,,,,,,kama inawezekana ni chuo gan?
  15. M

    JamiiForums Tanzania NAFASI YA GPA KUBWA KATIKA KUOMBA AJIRA

    Wanajamii hv gpa ina nafasi gan katika swala zima la kuomba ajira na interview kwa ujumla na ukizingatia swala la ushindani kwa sasa
Back
Top Bottom