Recent content by mmewadadako

  1. mmewadadako

    Plot4Sale Viwanja Bunju A viwauzwa meter 500 kutoka Bagamoyo road.

    Kuna kiwanja kimojawapo kina Sqm 1012 hicho ni almost robo heka. 46000*1012=
  2. mmewadadako

    Plot4Sale Viwanja Bunju A viwauzwa meter 500 kutoka Bagamoyo road.

    Viwanja vilivyopimwa vinauzwa Bunju A. Viko vinne Vimepimwa Umbali ni meter 500 kutoka Bagamoyo road Karibu na shule Pembezoni mwa barabara kubwa ya mtaa Huduma za umeme na maji zipo Neighborhood ni nzuri na pamejengeka vizuri Bei ni 46,000 kwa square meter Ni sehemu hot cake sana...
  3. mmewadadako

    INAUZWA Air Fryer kwa mapishi bila mafuta kwa bei poa

    "Ni vizuri" sio "Ni fizuri"
  4. mmewadadako

    Ni nini huwa kinapelekea eneo fulani kujikuta limekuwa na Makazi ya Kishua (wealthy neighbourhoods)?

    Hii ndio sababu kuu Uswahilini kunatokea pale kunapokua na viwanja vidogo vidogo
  5. mmewadadako

    Salary slip ya mwajiriwa fulani serikalini. Umejifunza nini kutoka kwa huyu kamanda?

    Kwa Gross Salary hio ya 940k hawezi kuchukua mkopo wa 40's Million.
  6. mmewadadako

    Anahitajika mwanaume aliyetayari kuwa mume

    Unaonekana ur a humble woman,hauna jazba na umerelax kwa mtazamo wa haraka haraka Safi
Back
Top Bottom