Recent content by Mmesa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nukuu toka kwa Rais Magufuli (QUOTES)

    Du! Zote zimenigusa sanaaaaa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri uzinduzi wa Kampeni za Chama cha ACT-Wazalendo - Agosti 30, 2015

    mmmmh! napita tu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kama Lowassa alitabiriwa na TB Joshua kuwa Rais TZ, Iweje sasa atumie Pesa kukampenia Urais?

    weka video kwa kuthibitisha
  4. M

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Askofu Kakobe ampelekea Rais Kikwete ujumbe wa wazi kutoka kwa Mungu

    wewe hujamwelewa kakobe soma huo ujumbe vizuri, hii ilifanyika mwaka 2014. na mungu akasema nae, na akampa ujumbe naye akaufikisha, wakashindwa kuufanyia kazi sasa yanawapata.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Askofu Kakobe ampelekea Rais Kikwete ujumbe wa wazi kutoka kwa Mungu

    wewe hujamwelewa kakobe soma huo ujumbe vizuri, hii ilifanyika mwaka 2014. na mungu akasema nae, na akampa ujumbe naye akaufikisha, wakashindwa kuufanyia kazi sasa yanawapata.
  6. M

    JamiiForums Tanzania VITUO VYA Tv vyanunuliwa dhidi ya LOWASA

    huku kwetu hakukuwa na umeme tanesco wananiudhi kweli. Hiki sio kipindi ambacho umeme ungepaswa kukosekana kabisa, ni kipindi muhimu cha wananchi kuwasikiliza wagombea na kuamu kwa vizuri nani wampe kura, lkn serikali yetu kila kitu kisuri wako kinyume nacho
  7. M

    JamiiForums Tanzania CCM inahitaji muujiza kushinda uchaguzi

    kifo cha nyani miti haipandiki, ccm hiyooooooooooooo! imechapa malapa
  8. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    huku Arusha hakuna umeme kuanzia saa nane mchana wameshindwa kukua tuna sm zenye redio. katika pitapita zangu mjini na kisimu changu cha redio nimeona watu walivyokuwa wamebeba nao visimu vyao na wanafuatilia bunge,
  9. M

    JamiiForums Tanzania Julius Mruta amemshinda Dr. Bana kwa hoja makini

    alishawahi kusema eti ukawa walikimbia bunge kwa sbb hawana hoja. leo akina julias wamemaliza kila kitu.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika Uchaguzi wa Viongozi wa BAVICHA Taifa - Mlimani City, Dar

    Mkuu umenena ila huku arusha wamekata umeme mji mzima sijui ni hujuma au vipi
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna chama cha upinzani Tanzania kinachoweza kuunda serikali

    wewe unawaza tu ukabila ninyi ni wale watu Mwl Nyerere aliwapiga vita mloishiwa hoja na kufilisika kifikra ndo maana Maneno ya Mungu yanasema, Mtu hunena yale yaujazayo moyo wake na ukikaa kimya kuna hekima kuliko kuongea ovyo!! badilika nchi hii bado inakuhitaji lete hoja yenye mashiko acha...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Leticia Nyerere, John Shibuda (CHADEMA) wajisajili katika Bunge Maalum la Katiba

    hata kama sio wale 16. kulengeza msimamo ndani ya siku 1 ni udhaifu mkubwa. ashughulikiwe.ameumiza watu wengi. msaliti huyo!!!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wassira akacha mdahalo ulioandaliwa na ITV

    hata wewe ulikuwa huna sbb ya kulitaja hilo neno
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wassira akacha mdahalo ulioandaliwa na ITV

    sio lipumba sema amfrey polepole angemtoa huyu mzee kamas
Back
Top Bottom