Mkuu Mkwawa nakushukuru sana nimewapigia HP wamesema niirudishe tu wata ship iyo umenipa details yake ndani ya 4 working days to my address. jama wanajua biashara hasa na nimead only 159usd weka na usafiri mpk home
aisee safi sana UBARIKIWE SANA MKWAWA Nitakupa mrejesho. Nime attach Picha ya...
Mkuu Chief Mkwawa Nimekupata sana HII PC ni 27 inch All in one computer Desktop na sio laptop mimi nilimnunulia baada ya kufika pale HP nakuona ni model nzuri kimuonekano na ina speed sana.
nilitaka kujua vitu technical ila umenisaidia sana naweza kwenda dukani na nikaibadili tu hawana shida...
Mkuu CHIEF MKWAWA aisee nimekuwa nikifuatilia mijadala yako KIMYA KIMYA sana kwanza naomba sana sana nikupongeza, kwa ushauri wako unaoutoa hapa wengi tunapata kama somo na kuweza kuelewa mengi juu ya hii technology kwa mapana yake.
Mimi huwa sio muandikaji kabisa humu JF ila leo nimeguswa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.