Pesa za kichawi/mazingaombwe/kishirikina zipo sema mpaka kuwapata wataaram wa hizo KAZI ni ngumu sana utaishia kuibiwa tu
Na maranyingi pesa za hivyo hazinaga mwisho mzuri au ukifa wewe na zenyewe zinaanza kuyeyuka na uliowaacha wataishi maisha magumu sio kawaida hela za kishirikiza mara nyingi...
Umri Wangu miaka 27 elimu yangu degree najiskia vibaya aibu sana ninapovitaja hivi vitu viwili. Sio kama mm ni mvivu wa kufikiria hapana nimekua nikijaribu kufanya kila niwezalo kuweka maisha yangu kwenye mstari na Kuna kipindi nilikua vzr tu lakn Kwa siku za hivi karibuni nimeyumba sana...
Natumain umzima wa afya mimi ni mgeni humu natumaini nipata ushirikiano na nitajifunza mambo mengi
Kwa sasa nipo Dar es Salaam.
Hari ya hewa ya Leo ni mvua na kibaridi Kwa mbaaari. Asante
Umri Wangu miaka 27 elimu yangu degree najiskia vibaya/aibu sana ninapovitaja hivi vitu viwili. sio kama mm ni mvivu wa kufikiria hapana nimekua nikijaribu kufanya kila niwezalo kuweka maisha yangu kwenye mstari na Kuna kipindi nilikua vzr tu lakn Kwa siku za hivi karibuni nimeyumba sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.