Kirefu chake ni umoja wa katiba ya wananchi, nadharia hii ilikuwepo hata kabla ya hivyo vyama, nadharia hii IPO hata ndani ya CCM hasa kwa wapenda mabadiliko, kumbuka G55, ni wanaccm walioamini maendeleo yatatokana na mabadiliko ya katiba.
kwa tz ni ili ccm na mfumo iendelee kuwa madarakani, kinachoonekana ccm hufararakinisha, lowasa anajuwa tatizo sio kikwete ila jk alizidiwa nguvu na mfumo usiomtaka m-kkkt aingie ikulu.
inawezekana kuwa upo sahihi katika yale mazuri uliyomnenea lakini hatua ya kuyakabiri hayo matatizo amefeli sana, kupambana na ufisadi ni kuunda mfumo na sio kutumbua majipu bila kukamua, kusisitiza uwajibikaji sio kushutisha na kupiga mikwara ila ni kuhamasisha na kuwapa ari watendaji wake...
ninashukuru kwa kukufikirisha ila hujanisoma vizuri, sikumsingizia mtu hapo na ukweli utabaki kuwa hivyo, kashfa zote ni kwasababu ya uluteli wake asiwe rais ndiyo ilivyokuwa kwa malechela hakufanikiwa, mizengwe mingi iliwekwa kwasababu ya uangalikana wake, nasisitiza ukatolik na ubakwata ndio sifa.
tofauti na sisi wa kisayansi kuna wanaoamini kupatwa kwa jua ni ishara mbaya kwa ufalme, ukiunganisha tetemeko na njaa kubwa inayotarajiwa kutokana na ukame unaotarajiwa, isitoshe inaelezwa katika utawala huu kutatokea kupatwa kwa mwezi pia, lazima ajitafakari na aombe nusra.
Awamu ya kwanza ya mkatolic hali ikuwa mbaya kihivyo, ya pili ya msuni ikawa afadhali kidogo, kwani kulipatikana RUKSA fulani fulani, ya tatu ya mkatolic mama au dada yako alinajisiwa zaidi, ya nne ya msuni nafuu kidogo, demokrasia kwa soni nyingi akawa anatembeatembea barabarani huku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.