Recent content by mmatengo wa mbinga

  1. M

    Nikajiuliza, Waziri alifuata nini Ikulu?

    Eti anasema chadema haina ofisi!! Ok, yawezekana chadema haina ofisi, lkn pia haina madeni kama chama chenu kimekopa kwa mashirika ya hifadhi, mmekopa kwa Shigongo, hata wafanyakazi wa media zenu za ccm mlishindwa kuwalipa mishahara kwa miezi zaidi ya 8. Kwani ccm ina nini cha maana zaidi ya...
  2. M

    Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Salum Hapi afuta Hati ya Shamba la Waziri Mkuu Mstaafu, F. Sumaye

    Sasa hivi nchi inaendeshwa kwa chuki na visasi. Miaka yote hawakumnyang'anya eti leo kwa kuwa amehamia chadema ndo wanamnyang'anya shamba. Mbona vigogo karibu wote wana mashamba makubwa. Na yeye sio kwamba hajapaendeleza, kuna nyumba na wafanyakazi na mifugo. Walitakiwa wamuombe awagawie raia...
  3. M

    UBUNGO, DAR: Uchaguzi wa Umeya waahirishwa

    Ccm wanalazimisha wakati idadi ya madiwani wao haitoshi, ndio wamechomeka mamluki. Aibu.
  4. M

    UBUNGO, DAR: Uchaguzi wa Umeya waahirishwa

    Halafu wakiitwa madikiteta wanakimbilia mahakamani, huu ni nini kama sio udikiteta. Aibu kubwa sana chama tawala, wakazi wa dar wamewakataa kwa kura, nyie mnalazimisha.
  5. M

    UBUNGO, DAR: Uchaguzi wa Umeya waahirishwa

    Hivi ccm hawaoni aibu kwa upuuzi huu wa wazi wazi wanaoufanya, raia wanaona na wajua kila kinachoendelea na hii itawapunguzia kura ccm 2020 wanaweza wasipate diwanichata mmoja uchaguzi ujao
  6. M

    Rais Magufuli aagiza Viongozi wa Serikali kurudisha posho za safari ya kuhudhuria kilele cha Mwenge

    Anakumbuka shuka asubuhi? Gharama ya kukimbizana na mwenge nchi nzima hadi vijiji ni mabilioni ya pesa yametumika, gharama ya kuzima mwenge ni ndogo tu. Hapo hakuna alichobana matumizi, anacheza na akili zetu tu kutafuta kicki.
  7. M

    Lipumba afungua akaunti mpya ya benki ili kupata ruzuku ya CUF

    Lipumba sasa hivi ana njaa kali. Anautamani mshahara aliokuwa analipwa na cuf
  8. M

    Lipumba afungua akaunti mpya ya benki ili kupata ruzuku ya CUF

    Na ndio maana wameenda kufungua akaunti kwenye benki ya serikali, ingekuwa CRDB wasingekubali ujinga huo. Huo ni wizi wa wazi kabisa anataka kuiba fedha za chama. Aibu sana hii kwa msomi
  9. M

    Uchambuzi wa habari: CUF sio tu imefanya kosa, imefanya kosa kubwa kisiasa

    Yaani Bwana yule (Lipumba)ameifanya cuf kama mali yake kwamba anaifanya atakavyo wakati wowote. Anaiweka mfukoni na kuitoa at any time, anaigeuza geuza kama samaki anavyokaangwa kikaangoni. Kwa nini ajirudishe madarakani bila kamati kuu kuridhia? na anajua tayari kuna uongozi uliochaguliwa baada...
  10. M

    Uchambuzi wa habari: CUF sio tu imefanya kosa, imefanya kosa kubwa kisiasa

    Angekuwa na mke nadhani asingefanya mambo ya kijinga, maana mwana hapendagi mambo ya aibu, lazima angemshauri. Sent from my GT-I9060I using JamiiForums mobile app
  11. M

    Uchambuzi wa habari: CUF sio tu imefanya kosa, imefanya kosa kubwa kisiasa

    Ccm na ACT wanamuunga mkoo lipumba ili aibomoe ukawa wakitaraji kwamba ACT ndio itashika chat, kalaghabau Ukawa haifi ng'oo, na lipumba amenyoosha maelezo leo ameomba poo eti anaomba maridhiano na Maalim waongee kutafuta muafaka, 'too late propesa just gooo. Sent from my GT-I9060I using...
  12. M

    Uchambuzi wa habari: CUF sio tu imefanya kosa, imefanya kosa kubwa kisiasa

    Kama Lipumba anaamini ana wafuasi wengi basi aende akaanzishe chama chake watamfuata huko. Juzi amelala kwenye ofisi za chama pale buguruni kwa kuhofia kupinduliwa endapo angelala nyumbani kwake. Aibu sana. Sent from my GT-I9060I using JamiiForums mobile app
  13. M

    Uchambuzi wa habari: CUF sio tu imefanya kosa, imefanya kosa kubwa kisiasa

    Lipumba ametumwa kuja kuiondoa cuf kwenye ukawa ili ijitegemee, lengo la waliomtuma ni kudhoofisha ukawa ili Pia kupunguza kura za Lowasa kwenye urais 2020. Jiulizeni yeye mwenyewe ndo alisema anapumzika siasa, na wazee na mashehe walimshauri asijiuzuru akakataa, eti leo anasema wazee wale wale...
  14. M

    Bora serikali ya kikoloni kuliko serikali ya awamu hii

    Kwa udikiteta huu, ni afadhali kutawaliwa na mzungu kuliko mtu mweusi mwenzetu. Kiongozi gani huyu hafuati sheria za nchi, anaongoza kwa matamko kama Mungu. Ee Mwenyezi Mungu Muumba wa Mbingu na nchi, nakuomba utuondolee utawala huu kama ulivyokuwa unakomesha utawala dhalimu nyakati zile za...
  15. M

    Lazima Lowassa ashitakiwe kwa Ufisadi!!

    Lowasa hakuhusika na richmond na ndio maana mpaka leo hawawezi kumpeleka mahakamani. Waziri mkuu hahusiki na mikataba, waiohusika na mikataba ile ilikuwa ni waziri wa nishati na katibu mkuu wake, mh Msabaha. Hata kwenye negotiation team (kupatanisha bei) Lowasa hakuwepo. Lkn pamoja na kwamba...
Back
Top Bottom