Recent content by mmasimmasi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Awaongoza Wakazi wa Mwanza Kuliombea taifa Amani

    Mungu alivyo tuumba alitupatia akili na utashi,sasa inapofika mahali ukimwona mwanasiasa kanisani unampamba namna hiyo ni ujinga,hata wachawi huenda kanisani.mtu anaposimama na kusema anaushahidi wa ugaidi kumbe ni uongo then anaenda kuliombea amani taifa lazima ww unayempamba na yeye wote mkawa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Awaongoza Wakazi wa Mwanza Kuliombea taifa Amani

    Amani haiombewi,amani ni zao la haki
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Pinda waanikwa!

    Ray jay,elimu yako tafadhali...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Moshi Mjini ni kielelezo cha kuwa 'CHADEMA ni Chama Cha Demokrasia na Maendeleo

    Wakazi wa moshi ni wasafi kwa hiyo serikali ya jk inahusika,dar serikali ya jk haihusiki coz ni wachafu?kichwani unapovu siyo ubongo wewe.
  5. M

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Members Vs. TWAWEZA Tutafute Ukweli

    Dr slaa
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tusisahau Katiba mpya Watanzania

    Umenena vyema petro.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete Matibabu Marekani: Story ya Jaribu Ujinga

    Tanzania ni zaidi ya ajabu la dunia.
Back
Top Bottom