Hellow! Wanajamii,naombeni Mnisaidie Katika Hili,
Niko 2nd Year Chuo Kikuu Nasomea Account & Finance,natafuta Kazi Part Time Katika Mkoa Wa ARUSHA,hata Nikianza Kwa Kujitolea Sio Mbaya Then Mkataba.
0746660975
Kauli mbiu ya ccm ni "umoja ni ushindi" ila magufuli ni "hapa kazi tu" ccm hakuna walichofanya tena mshukuru upinzani ndio unamfanya magufuli kuwa kasi namna hiyo.ahsante nyingi kwa lowasa kuwafungua macho ccm
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.