Recent content by mmaroroi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Political Timing: 2015 Mbowe alimlia timing Dr Slaa Kwa kumleta Lowassa this time Yeye ndio kaliwa timing analia " imekuwa ghafla mno"

    Baada ya tarehe 21 Mropokaji analiwa kichwa kwa kuwazushia uongo viongozi wenzake.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: January Makamba kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara

    Atagombea na Urais 2025?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ipo siku CHADEMA itamkumbuka Mbowe but itakuwa very late

    Mbowe ni Gwiji wa siasa Afrika Mashariki na Kati. Anaijua siasa na ni muungwana sana.
  4. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uropokaji wa Tundu Lissu ni kilema hawezi kubadilika. Tumkatae kabla hajaleta maafa

    Mtu wa aina hiyo hawezi kuongoza Chama cha siasa maana kwa uropokaji huo kitakiuka taratibu na kufutwa.
  5. M

    JamiiForums Tanzania KURA: Je, ni nani kati ya Freeman Mbowe na Tundu Lissu anayefaa zaidi kuiongoza CHADEMA kwa Sasa?

    Mbowe anatosha kwa sasa akivushe Chama salama kwa kipindi hiki
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu ya CHADEMA kukutana Jijini Dar es Salaam, Tarehe 14/12/2024, Ajenda ni mbili tu

    Wangejadili na wanaokuchafua Chama kwenye vyombo vya habari.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Je tuamini katika busara za Mwenyekiti Mbowe au tuamini katika ujasiri na misingi thabiti anayo amini Tundu lissu?

    Upi? Uwe mkweli tangu enzi ya JPM ingekuwa Chadema inafuata msimamo wa Lissu bado ingekuwepo? Wewe unajua maana ya Mtu kushikilia mpini kwenye kisu?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kinara wa nishati safi mbona unaturudisha kwenye diesel?

    Halafu eti wanahimiza wananchi watumie nishati mbadala wakao wao wanarudi kwenye diezel inayoharibu mazingira. Viongozi inabidi wawe wakweli waache siasa kwenye mambo ya msingi na ya kisayansi.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nchi ina kampuni 21 za kucheza kamari halafu uniambie tutakuwa na vijana jasiri na wapenda mabadiliko

    Kweli kabisa haifai. Ni namna ya Viongozi kuwapumbaza wananchi na hasa vijana.
  10. M

    JamiiForums Tanzania imekuaje ngome ya upinzani imenyoosha mikono

    Ni maandalizi ya Serikali ya umoja wa kitaifa.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nchi ina kampuni 21 za kucheza kamari halafu uniambie tutakuwa na vijana jasiri na wapenda mabadiliko

    Hii inadumaza kufikiri ya vijana kwa kuwaza kupata mali bila jasho.
  12. M

    JamiiForums Tanzania KURA : CCM kuelekea 2025, Twende na Form 1 Au multiple Form ?

    CCM 2025 iwe na Mgombea Urais Mwanaume mwenye hofu ya Mungu na anayechukia rushwa na ufisadi.
Back
Top Bottom