Recent content by mmalila

  1. M

    GE2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    Jamani mliopo hko Dodoma karibu na ukumbi wa ccm tunaomba tupeni update kwa kinachoendelea hko kuhusu nani kaputishwa ili ukawa tushangilia maana yeyote atakayepitishwa ccm kwishineee.tujulisheni wadau.. Pia Leo kituo cha police bunju maeneo ya usalama kimechomwo moto na wanafunzi baada...
  2. M

    Membe: Msiponichagua mimi mchagueni Pinda

    Hao ndio ccm bwana utawapenda kwanamna wanavyojichakachua kinamna wenyewe!ebu ngoja tuwe wakweli, ukimwangalia membe, pinda, ngereja, lowasa, migiro, jadge r, na wengine watia nia wa ccm ukiachilia m.nyerere na kidoogo mwandoswa kweli wanakariba ya uongozi kweli?! Pima utendaji wao mda ambao...
  3. M

    Mkinga adai kupigwa marufuku kwenye vituo vya ITV na EATV

    Acheni kumtusi mkinga nyie mnaoandika mbofumbofu juu yake, kiukweli mkinga yupo vizuri sana na huwa anaongea facts ingawa hana msimamo sana. Rejea mijadara yake kipindi cha katiba mwanzani aliunga rasim ya wananchi na mwishoni akaanza kuwaunga ccm baada ya ukawa kuachana nao na kutoka bungeni.
  4. M

    Updates: Mkutano mkubwa wa Dr. Wilbroad Slaa Tanganyika Packers DSM

    Tuambie tuliombali na eneo latukio, chanel ganiya tv watakuwa live ili nasi tushiliki moja kwa moja?
  5. M

    Updates: Mkutano mkubwa wa Dr. Wilbroad Slaa Tanganyika Packers DSM

    Tuambie tuliombali na eneo latukio, chanel ganiya tv watakuwa live ili nasi tushiliki moja kwa moja?
  6. M

    Migiro ajitosa Urais, Sitta kurudisha fomu

    watanzania tufike wakati tuseme basi inatosha,tukiendelea kuwashabikia hawa watia nia waccm mwisho wasiku tutaonekana wote hatuna akili za kungamua maana matatizo ambayo yanatukabili kwasasa ndo walioyasababisha! ebu niambie ukiachilia makongornyerere,ni wazili gani msafi aliyetia nia mpaka...
  7. M

    Migiro ajitosa Urais, Sitta kurudisha fomu

    watanzania tufike wakati tuseme basi inatosha,tukiendelea kuwashabikia hawa watia nia waccm mwisho wasiku tutaonekana wote hatuna akili za kungamua maana matatizo ambayo yanatukabili kwasasa ndo walioyasababisha! ebu niambie ukiachilia makongoro nyerere,ni wazili gani msafi aliyetia nia mpaka...
  8. M

    CHADEMA Kila kona: Salum Mwalim yuko Moshi, Dr Slaa yuko Mbeya

    Ukawa na chadema juuuuuuuu! Watatukoma mwezi wa kumi lazima wangoke tuu wametunyonya vyakutosha mpaka wamepoteza network. Mmemwona sits Leo bungeni alivyo zodelewa na h.mdee pale alipotia document ambayo indalili za ufisadi na ilisainiwa na naibu wake halafu yeye sitta Hana na akawa anbisha? Ni...
  9. M

    Mbunge wa Zanzibar Kammaliza Tundu Lissu leo Bungeni

    Mbunge hyo anaitwa nani? Mbona unajikanyaga kanyaga na amemchanaje lisu?acha njaa zako DOGO.ukiona mbunge was Zanzibar anakinzana na ukweli was namna Zanzibar inavyopunjwa na muungano,jua huyl no ccm a an ccm b kama h masjid na pia ukiona MTU yeyote kwenye akili timamu anaipenda ccm ya Leo hii...
  10. M

    UKAWA kufanya Mkutano Jangwani tarehe 26 siku ya Jumapili

    Ukawa Juuuu! Juu Saaanaah! Tukimaliza Jangwani Naomba Tukatimbe Mbeya Tena Mbeya Vijijini Tukaimalizie Ccm Maana Kule Imebaki Inapumulia Mashine.
  11. M

    Lowassa atumia zaidi ya Sh. milioni 500 ili ashinde Tuzo ya Mwanasiasa mwenye Mafanikio katika Jamii

    Hata kama Kusoma Hujui,picha pia Huoni? Mshindi Hapo Ni Mwenye No_mm03(dr.W.Slaa!
  12. M

    UPDATES: Mkutano wa CHADEMA Mtwara ukiongozwa na John Mnyika (Mashujaa)

    Wana Jf Naomba Kuuliza;mbona Mi Nikipost Story Yangu Hmu Jf Nikiingilia Pale Kwenye New Topic Huwa Zinakataliwa? Naomba Msada Ikiwezekana Wahusika Nisaidieni.
  13. M

    UPDATES: Mkutano wa CHADEMA Mtwara ukiongozwa na John Mnyika (Mashujaa)

    Ukawa Kazeni Msuri, Hao Wanaosema Cdm Wanaingilia Ngome Za Cuf Wapuuzi Tu Hawajui Kama Cdm Na Cuf Lao Moja. Lakini Ukawa Nawakumbusheni Mbona Mbeya Vijijini Mmekusahau Sana Wakati Ile Ni Ngome Ya Chadema Tangia 2010 Ila Tu Yule Chitambala Aliuza Jimbo Kwa Maccm! Ebu Njooni Bwana Tujiandae...
  14. M

    Nimeanini UDSM ni cha kipekee Tanzania, Hawana mgombea, Hawajaenda kumshawishi yeyote

    Ndugu Yangu Udsm Itabaki Kuwa Udsm Tu! Hata Hko Makazini Tuliko Aliyesoma Udsm Utamtambua Tu Wako Makini Mno Na Wanajua V2 Lkn Hawa Wa Vyuo Vingine Vya Njiani Hmo Ni Shiiida! Kama Wanafunzi Wa Shule Za Kata Hv! Samahani Kama Nitawaudhi Lkn Huo Ndo Ukweli Wenyewe.
  15. M

    Mtunzi na muhamasishaji wa nyimbo za CHADEMA, ahamia ACT - Wazalendo

    ndugu yangu mwalim mbona unakuwa mtumwa wa act kana kwamba hata umekuwa msukule wao? hata kama kusoma hujui hata picha huoni mwalim! mti wenye matunda ndo unaopigwa mawe! chadema ndo chama makini kilichobeba matumaini ya watanzani ndo maana vibaraka wa act na ccm kama ninyi mmetumwa kuhangaika...
Back
Top Bottom