Recent content by Mmaasai

  1. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa akimbilia tena Marekani, awatakia Watanzania uchaguzi salama

    Unavuna ulicho panda babu
  2. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

    Dah! Watu kama filip kunjombe walihitajika sana ktk serikali ijayo mungu ailaze roho yake mahali pema peponi watanzania tulikupenda lkn mungu kakupenda Zaid
  3. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mzee Emanuel Makaidi, Mwenyekiti mwenza wa UKAWA afariki dunia

    Mh! Aiseee hii inauma kupita kawaida mzee alikua jembe huyu!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hasira za nini Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete?

    Kazi ipo
  5. M

    JamiiForums Tanzania Picha tu: Lowassa Mwanza

    Wame edit lowasaaaaaaaaaaaaaaaaaa
  6. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Waziri wa Viwanda na Biashara, Abdallah Kigoda amefariki dunia

    He! Yametimia.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya udereva

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 32 Elimu yangu kidato cha nne na pia nimesoma chuo cha usafirisha (N.I.T) National institute of transport. Ninauzoefu wa miaka saba sasa leseni yangu ina madaraja yote na ninauwezo wa kuendesha gari aina zote. Kwa mwenye nafasi anisaidie
Back
Top Bottom