Recent content by mlyambate

  1. M

    JamiiForums Tanzania Natamani kufanya kazi wizara ya elimu

    Mwaarobaini wa wizara ya Elimu ni kuwa na sera mpya ya Elimu itakayotoa mwongozo wa mafunzo ulio na mfumo wa academic na profession oriented.Baada ya hapo ifanyike operesheni fumua kwa vigogo wote pale wizarani na kuweka damu mpya yenye maono hai,kwani wazee waliopo pale wizarani wapo kwamaslahi...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania haiwatumii vizuri wakaguzi wa shule kada ambayo ni jicho la elimu nchini

    Ni chukizo kwa wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi kuitelekeza kada hii,kwani hivi sasa wakaguzi hawa hukaa ofisini na kusubiri mishahara,hawana mori ya kufanya kazi.hawana vitendea kazi,hawawezi kuzifikia shule vijijini na wakifika vijijini hutegemea hisani za walimu wanao wakagua, Je mkaguzi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kawambwa Amechakachua matokeo ya Darasa la 7 2012

    Tanzania itaendelea kuporomoa elimu yake kwa sababu wanaopewa dhamana ya uwaziri wa elimu si walimu mfano huyu mheshimiwa ni mhandisi . Lakini pia sera ya elimu haina wasimamizi kwa sasa.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Exclusive: Hukumu ya kesi ya Mh. Godbless Lema iliyosomwa Disemba 21, 2012

    Hongereni majaji kwa kuuona ukweli na kutoa maamuzi yenye mashiko na kuonesha umahiri na weledi wenu katika sheria hakika MUNGU ATAZIDI KUWAPA HEKIMA KATIKA KAZI ZENU
Back
Top Bottom