Recent content by mlunje

  1. M

    JamiiForums Tanzania Vituko mikoani

    ni shida aisee
  2. M

    JamiiForums Tanzania Waliokutana na kadhia hii ya Trafiki, ungana na mimi kukataa!

    trafic wanakiuka sheria ya kazi yao,hata nimeshuhudia nikiwa kwenye daladala dereva analazimishwa atoe leseni,mkuu palichimbika hapo,
  3. M

    JamiiForums Tanzania Natamani kuona Polisi wakienda kulinda amani mataifa ya nje (Peacekeeping)

    sina uhakika wa hilo jambo
  4. M

    JamiiForums Tanzania Bakhresa group punguzeni udini

    ni matakwa yake,
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mahakama yaamuru Mama aliyepigwa wakati anajifungua alipwa fidia ya dola 25,000 (Tsh 55,000,000)

    ni funzo tosha kwa wauguzi na nurses wote
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nimempokonya Rushwa Traffic Katoka nduki Kunifukuza

    aisee we mkali
  7. M

    JamiiForums Tanzania Matapeli wakubwa 5 kuwahi kutokea Tanzania

    wazee hapo kazi ilikuwepo,mana wote wako juuu,
  8. M

    JamiiForums Tanzania Matapeli wakubwa 5 kuwahi kutokea Tanzania

    hahahahahahaaaa,yani wakuu munaleta utamu kidogo alafu munaishia hewani,bhanaaa endeleeni kuleta utamu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Matapeli wakubwa 5 kuwahi kutokea Tanzania

    ni shida sana wakuu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Matapeli wakubwa 5 kuwahi kutokea Tanzania

    mkuu una matatizo
  11. M

    JamiiForums Tanzania Bara la Afrika kugawanyika na kuwa mabara mawili?

    ni shida aiseeeee
  12. M

    JamiiForums Tanzania Fiji: Nchi inayokaliwa na Watanganyika wa kale

    hhata mimi nakumbuka marehem bibi kuzaa baba alikuwa na hiyo asili ya kisiwa cha fiji,muonekano wake kama hao wakazi wa fiji land
  13. M

    JamiiForums Tanzania Fiji: Nchi inayokaliwa na Watanganyika wa kale

    slieleta thread hii anatakiwa atoe uhalisia wa kisiwa cha fiji na wakazi eake
  14. M

    JamiiForums Tanzania Swali: Je, shushushu (mwanausalama) akihitilafiana na raia wa kawaida hawezi tumia mbinu za kazi yake kumshughulikia?

    nidhamu ya kazi haipo,watakiwa wapewe elimu ya nidhamu ya kazi yao ili wajue wajibu wao,
Back
Top Bottom