Matapeli wakubwa 5 kuwahi kutokea Tanzania

Hao wote uliotaja majina yao ni wafanyabiashara.matapeli unawajua lakini hukuwataja.labda unaogopa kupotezwa.
 
Umemsahau Wema Sepetu, demu hana hili wala lile....ni bonge la paka la baa hapa mjini kwani anaishi kimagumashi tu kwa kupiga wanaume wa Dar (wasiojitambua) mizinga.
 
batengas hukumtaja mkuu..huyo ndio tapeli mzuri zaidi kuwahi sikia habari zake hapa kwetu..aliwahi mtapeli mpk nyerere
 
Back
Top Bottom