Recent content by Mlume

  1. Mlume

    Padre Baptist Mapunda: Serikali ya CCM itaua watu wengi sana mwaka huu ili ibaki madarakani

    Mkuu huyu jamaa ni padre wa dhehebu gani na wapi?
  2. Mlume

    Wahariri mmenishangaza sana

    Zamani ilikuwa ----------- na Raiamwema, ----------- akapigwa ban akabaki Raiamwema ya kina Generali Ulimwengu lakini siku hizi na yenyewe hakuna kitu kabisa. Labda the Citizen.
  3. Mlume

    Uongozi wa Kikwete Vs Mkapa: Tatizo ni nini?

    Mkuu mbona unalizwa sana na haka ka-uzi? Mbona na wewe masaa yote unakatembelea? Umeguswa na nini?, weka wazi mkuu...
  4. Mlume

    Uongozi wa Kikwete Vs Mkapa: Tatizo ni nini?

    Hakuna tatizo, ili mradi ukumbuke kurudi tu. Mkapa alikuwa CCM na JK ni CCM pia, issue hapa ni Performance zao wakiwa madarakani.
  5. Mlume

    Uongozi wa Kikwete Vs Mkapa: Tatizo ni nini?

    Kaa kando mzee, unafikiri kila mtu humu ana njaa kama LB7? Weka facts tukuelewe sio kubwabwaja tu hapa. Unashindwa hata na gsu at least amejaribu kujieleza.
  6. Mlume

    Uongozi wa Kikwete Vs Mkapa: Tatizo ni nini?

    Kama huna hoja kaa kimya, sio lazima ujibu kila kitu.
  7. Mlume

    Uongozi wa Kikwete Vs Mkapa: Tatizo ni nini?

    Nadhani alidhibitiwa na wana-mtandao.
  8. Mlume

    Uongozi wa Kikwete Vs Mkapa: Tatizo ni nini?

    mkuu gsu mengi ya uliyoongea ni kweli na nakubaliana nayo. Hata hivyo hoja yangu ni kwamba Mkapa alifanya mengi vile vile lakini nchi aliiacha vizuri pia, lakini JK kala mpaka mbegu.
  9. Mlume

    Uongozi wa Kikwete Vs Mkapa: Tatizo ni nini?

    Wanabodi heshima mbele. Tunakumbuka wakati Rais wa awamu ya tatu Mh. Ben Mkapa alipokuwa akitoka madarakani aliondoka akiwa kifua mbele akijivunia mafanikio aliyokuwa amefikia. Mh. Mkapa alitamka kwamba ameacha hazina ya kutosha ya fedha za ndani na fedha za kigeni. Makusanyo ya kodi yalikuwa...
  10. Mlume

    Mbunge mwenye elimu ndogo kuliko wote Tanzania

    Sina muda wa kupoteza kubishana na wewe.
  11. Mlume

    PAC ilivyowajaza hasira wananchi

    Mkuu rejea uzi wako "Hakuna atakayeachia ngazi sakata la Escrow". Unaikumbuka hii?
  12. Mlume

    Mbunge mwenye elimu ndogo kuliko wote Tanzania

    Ujuaji usio na maana
  13. Mlume

    CHADEMA sasa yamvuruga Zitto ACT-Tanzania

    LB7 tabia zenu hazieleweki kabisa.
  14. Mlume

    CCM, Mwenyekiti wenu huyu anakiua chama makusudi kabisa!

    Na wewe umelishwa ujinga na ukaula.. tehe tehe
  15. Mlume

    Yuko wapi mtangazaji nguli Dotto Emmanuel Bulendu?

    Ni kweli hajaonekana siku nyingi. Kipindi chake cha Jicho letu ndani ya habari alikuwa akikiendesha vizuri sana. Hata hivyo siku hizi Star TV na yenyewe imekuwa kama TBC, kwa hiyo imepoteza sana mvuto. Hata akiondoka sawa tu..
Back
Top Bottom