Recent content by Mlowezi Swakala

  1. Mlowezi Swakala

    JamiiForums Tanzania Mambo 30 usiyoyajua kuhusu utapeli wa Q-Net (Network Marketing)

    Matapeli Mimi nimewasikiliza mwanza Wana mambo ya kishirikina Mimi mzee wa upako nimeenda pale projo nyingi wanauliza Hadi kazi unayofanya, Hadi aseti ulizo nazo ukiwaambia huna Hela wanakwambia chukua mkopo, uza kiwanja, uza nyumba, aisee wasenge sana halafu wanawake wengine kuliko wanaume. Dah...
  2. Mlowezi Swakala

    JamiiForums Tanzania Mambo 30 usiyoyajua kuhusu utapeli wa Q-Net (Network Marketing)

    Matapeli Mimi nimeenda nikawasikiliza lakini Mimi mwamba wa Shinyanga hawajalamba hata mia yangu. Take care QNET LISHINHU.
  3. Mlowezi Swakala

    JamiiForums Tanzania Mwanamke atakayenitongoza ndiye atakayenivumilia

    kijanana tafuta hata mwenye mtoto anaweza kukuvumilia.
  4. Mlowezi Swakala

    JamiiForums Tanzania Mwanamke anaanza kukupenda kitandani

    teh teh teh, vijana bwana na dunia ya mapenzi, tupambaneni na maisha mapenzi yapo tu hasa ukiwa na mke siyo malaya.
  5. Mlowezi Swakala

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Serikali kumpima mtoto anayedhaniwa kuwa na kipaji cha hesabu

    mbona Hesabu tu, kusoma anaweza?
Back
Top Bottom