Recent content by mlimbwende

  1. M

    JamiiForums Tanzania Crash Program PGM

    Asante kwa ushauri ngoja nirekebishe
  2. M

    JamiiForums Tanzania Crash Program PGM

    Nahitaji mwalimu mzuri wa form five masomo ya physics na Maths crash programme ya siku 7.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwalimu mzuri wa form one crash programme ya siku 10

    Nahitaji mwalimu mzuri wa form one physics, chemistry, biology na Maths na mwalimu wa commerce, geography, bookkeeping and History awe Dar es salaam crash programme ya siku 10. PM me please
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mtaalamu wa Lugha wa kuandika references kwa style ya APA

    Bado, yes APA 6th
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mtaalamu wa Lugha wa kuandika references kwa style ya APA

    Mimi niko Tanzania kuna mdogo wangu anahitaji kufanyiwa hiyo kazi kama uko Tayari sema maana anahitaji mtu wa kuifanya kwa ustadi haraka. Nikiasi cha kuziweka ziwe kwenye consistencies alinipa nimsaidie lakini nimekua na mambo mengi na yeye ana haraka ni references za chapter nane
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mtaalamu wa Lugha wa kuandika references kwa style ya APA

    Nahitaji mtaalamu wa Lugha anaejua kuandika references kwa style ya APA
  7. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kutengeneza book cover

    Natafuta mtaalamu wa kunitengenezea cover ya kitabu changu ( design a book cover)
  8. M

    JamiiForums Tanzania Fundi Pavement anahitajika

    Natafuta fundi pavement amabe bei yake aiko juu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa tafsiri sahihi ya neno Adam's Apple na Mawazo

    Tafadhari kwa wale wataalamu wa lugha naomba tafsiri sahihi ya neno "Adam's Apple" kwa kiswahili na neno "mawazo"in English
  10. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ya awamu ya 5 imefanya kipi cha maana zaidi ya vitisho na maisha magumu?

    Serikali ya awamu ya tano imefanya mambo makubwa mengi tu kwa kipindi kifupi kwanza nidhamu imerudi hasa kwa sisi watumishi wa umma. Pili wakulima wamenufaika na bei za mazao e.g. korosho ha hii ni baada ya kupunguza baadhi ya tozo. Tatu Ufisadi na rushwa vinaendelea kupungua ikumbukwe rushwa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania IKULU: Rais Magufuli apokea taarifa ya ripoti ya Pili ya Mchanga. Waliosaini Mikataba Wakaangwa

    For the first time nimelia, nimepatwa na uchungu wa uzalendo nimeumia sana. Kwakweli ambae mpaka sasa ajamuelewa raisi wetu anaitaji maombi. Mimi sio mwanasiasa ila with my little psychology nimeuona uchungu na uzalendo wa dhati wa muheshimiwa. Nimekaa pembeni na mwanangu wa miaka sita akasema...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Fundi Pavement

    Anaemjua fundi mzuri anayetengeneza pavement za kisasa kwa bei nafuu tafadhari naomba namba za simu
  13. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta fundi wa kutengeneza bafu la kisasa

    Asante sana
  14. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta fundi wa kutengeneza bafu la kisasa

    Wadau, Mwenye kumfahamu fundi mzuri wa mabafu (I mean sink za bafuni, sink za kuogea na vyoo) anipatie namba zake
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata original battery za samsung S3 na S4 hapa Dar?

    Wadau kama kuna mtu anaweza niambia wapi naweza kupata original battery za samsung S3 na S4 hapa Dar maana kila ninazonunua nakuambiwa ni original mwisho wasiku ni fake
Back
Top Bottom