Recent content by mlemwa

  1. M

    Vyombo vya habari msitumike kukandamiza wananchi

    Naandika haya kwa masikitiko makubwa baada ya kushuhudia upotoshaji mkubwa wa habari zinazochukuliwa na vyombo vya habari kwa kuwapendelea wawekezaji wa mgodi wa TANZANITE ONE. Ulipotokea mgomo mnamo February mosi 2016 waandishi wa habari walipka habari hata kufikia kuweka kwenye taarifa ya...
  2. M

    Mgodi wa Tanzanite One Mererani wafukia watu

    Hii ni taarifa inatolewa ili followup ifanyike tupate iliyo kamili siyo research okey..
  3. M

    Mgodi wa Tanzanite One Mererani wafukia watu

    Taarifa za awali zisizo rasmi kutoka Mererani mgodi wa Tanzanite one ambao punde ulikuwa na mgogoro na viongozi wa chama cha wafanyakazi na wafanyakazi kwa ujumla, ni kwamba kumetokea ajali ya mgodi kuanguka na kufukia watu katika moja ya shaft zake inayoitwa JW. Mpaka sasa haijajulikana idadi...
Back
Top Bottom