Recent content by MLEMVYA RASHID

  1. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kupata updates za soko la tikiti

    Majibu hayawezi kufanana
  2. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kupata updates za soko la tikiti

    Option ipo masoko yote tz hayawezi kuwa sawa
  3. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kupata updates za soko la tikiti

    RUFIJI
  4. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kupata updates za soko la tikiti

    Kwa mwezi wa kumi mwanzoni soko lipoje? na KWA maeneo gani? pia soko lipokuwa baya unaweza shindwa rudisha hata pesa yako ya msingi? msaada please?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kupata updates za soko la tikiti

    Kwa maana ya kwamba, faida ndogo?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kupata updates za soko la tikiti

    Habari ndugu wana jamvi! Naomba kupata Updates za soko la tikiti kwa maeneo ya Dar, Pwani na Morogoro, soko likoje kwa mwezi huu wa tisa? Na pia, kwa wale wajuzi wa soko la zao hili, naomba kufahamu ni miezi ipi soko la tikiti linakuwa zuri? Ahsante
  7. M

    JamiiForums Tanzania Yahusu vibali vya uhamisho

    habari zenu wana jf! kwa anayejua ni tarehe ngapi vibali vya june 2015 vitatoka afunguke hapa....asanteni
  8. M

    JamiiForums Tanzania Yahusu vibali vya uhamisho

    Habari zenu wana JF! Naomba kuuliza, kama kuna mtu anafahamu tarehe ya kutolewa majina ya uhamisho, namaanisha vibali vya June 2015 anihabarishe. Ni tarehe gani watatoa? Asanteni.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Yahusu kubadilishana kituo cha kazi

    Habari ya muda huu wana JF, kuna mwalimu yuko TANGA JIJI anatafuta mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi awe anatoka IRINGA MANISPAA, idara ya sekondari_______amethibitishwa kazini kama ukotayari wasiliana naye kwa namba hii 0717303093, ili muwahi vibali vya desember. ASANTE.
  10. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    ninauhitaji wa mwanza jiji ndg yng
  11. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Habari zenu wana JF, naitwa nwl. DAVID nipo IKWIRIRI_RUFIJI MKOA WA PWANI,idara ya sekondari km kuna mtu yuko mwanza jiji tufanye mchakato wa kubadilishana naye, IKWIRIRI ipo jirani na dar es salaam, nauli ni elfu tano hadi mbagala,.usafiri upo hadi saa mbili usiku, ikwiriri kuna maji na umeme...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Yahusu kubadilishana kituo cha kazi

    Habari zenu ndg zangu, naitwa Mwl. MUSA natafuta mwalimu wa kubadilishana naye eneo la kazi yeye aje ikwiriri sekondari iliyopo hamlashauri ya wilaya ya rufiji mkoa wa pwani mimi niende mwanza jiji/ ndani ya mkoa wa mwanza, idara ya sekondari. ikwiriri ni eneo ambalo halipo mbali na mkoa wa dar...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Serikali kuajiri Zaidi ya walimu 35,000

    ndg zng sio utani
  14. M

    JamiiForums Tanzania Serikali kuajiri Zaidi ya walimu 35,000

    kabla majina kutoka hua kuna taarifa ya awali ndy km hii
Back
Top Bottom