Recent content by mlawamum

  1. M

    Kwa hili sio siri Prof. Maghembe ameonewa sana aombwe radhi

    mbona hamumjadili Dr.Ndalichako alieharibu pale baraza la mitihani(NECTA)na kufukuzwa,leo tena wizara!du... !!!
  2. M

    Noah inauzwa bei chee!

    hiyo bei ni ya show room
  3. M

    Arusha - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Nyie ng'ang'anieni ktk mitandao ya kijamii wakati vijana wa kikada wamefurika ktk vituo vya kupigia kura
  4. M

    Tutafakari: Lowassa atachokwa Haraka sana na Watanzania Baada ya kuchaguliwa kuwa Rais

    km afya si hoja sawa bwana na kipundupindu chenu,mtamtumafurmta wakati atakapodhindwa kutoka ata nje ya nyumba yake
  5. M

    Tutafakari: Lowassa atachokwa Haraka sana na Watanzania Baada ya kuchaguliwa kuwa Rais

    mh na afya nayo ni tatizo,mkojo kila nusu saa.
  6. M

    Yaliyojiri Mikutano ya Mgombea Urais Dk.Magufuli, Kwimba, Magu, Misungwi na Igoma

    mwalim pia alikemea udini lakin mgo bea alienda kanisani akawaambia waumin wamchagua kwa savabu ya urutheli wake ,au umesahau?
  7. M

    Azam TV tafadhali tendeni haki

    Sasa maghufuli ana uwezo wa kuongea gata masaa mawili but lowasa kazidi sana ni dakika tatu,wewe unataka aonyeshwe dakika saba watazitoa wapi?
  8. M

    Islamic Foundation yawataka Waislam kuondoka vituoni baada ya kupiga kura

    MOU alisaini lowasa sasa akiwa president itakuwaje au ndo musikiti itakua sunday schools
  9. M

    Islamic Foundation yawataka Waislam kuondoka vituoni baada ya kupiga kura

    ni yeye mwenyewe ndio alisema achaguliwe kwa sababu ya ulutheri wake kwa nchi hii haijawahi kuongozwa mlutheri,sasa unabisha nini?
  10. M

    GE2015 Anna Mghwira: Sheria inaruhusu kusubiria matokeo mita mia mbili nje ya kituo

    polise jamii au walinzi shirikishi usajiliwa na serikali za mitaa nanyi nendeni mkajisajili kwa kazi hyo.lakin haiwezekan watu wote waliojiandikisha kupiga kura zaidi ya milioni 22 nusu ya watanzania wawe walinzi hiyo ni fujo na haijwahi kutokea kokote duniani
  11. M

    GE2015 Anna Mghwira: Sheria inaruhusu kusubiria matokeo mita mia mbili nje ya kituo

    jeshi la police ndio lenye dhima ya kulinda watu na mali zao sasa nyinyi hiyo kazi ya ulinzi kawapa nani?
  12. M

    Kijana unayeshabikia siasa, hujashtukia kuwa wewe ndo CHAMBO tarehe 25.10.2015?

    Wanasiasa hutushawishi tukalinde kura zetu wkt wao wakishapga kura hujifungia majumbani mwao na familia zao hata watoto wao hawawaruhusu kua mawakala
  13. M

    Kijana unayeshabikia siasa, hujashtukia kuwa wewe ndo CHAMBO tarehe 25.10.2015?

    we acha fikra za kipuuzi,ujana hauna maana ya kutumika unreasonable tena na wanasiasa uchwara wa kitz ambao ni wabinafsi na mafisadi,ni kweli tunahutaji mabadiliko lkn si kuyza utu wako na uhai jwa ajili yao
  14. M

    Unajua E.Lowassa sio Mmasai, ni Mmeru aliyeasi kabila, Arumeru mkataeni ila hela kuleni

    ila ni FREEMASON anayeendeshwa na nguvu za giza
  15. M

    Musoma: Vijana waliodeki barabara ili Lowassa apite wakamatwa na polisi

    Nchi hii ingekua na haki LOWASA SUMAYE na majizi yalio ndani ya ccm yangekua jela.kwa hiyo achana na habari hiyo
Back
Top Bottom