Recent content by Mlasani

  1. Mlasani

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ajadiliwa tena DW, kufungia magazeti mawili kunaweza kusababisha vikwazo nchini

    Hebu waambie hao... Tz inaendeshwa kwa sheria za Tz na sio kwa matakwa ya DW! Who are they by the way?
  2. Mlasani

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Wakulima pandisheni bei za mazao kadri mtakavyo

    Na inanyooka...Watanzania tulizoea kubweteka mno! Hizi kelele zooote ni siasa mufilisi tu za chadema. Badala ya kusaidia maendeleo ya nchi hususani majimboni mwao, wanaendeleza siasa za kejeli na majungu.
  3. Mlasani

    JamiiForums Tanzania Swali la Ugomvi: Tanzania Kuna Baa la Njaa? Upungufu Mkubwa Chakula au Hofu ya Ujio wa Njaa?

    Vyombo vya wahuni wasioitakia mema nchi
  4. Mlasani

    JamiiForums Tanzania Swali la Ugomvi: Tanzania Kuna Baa la Njaa? Upungufu Mkubwa Chakula au Hofu ya Ujio wa Njaa?

    Watu wafanye kazi Tanzania hakuna njaa. Hawa wanasiasa wa kimazoea tuwaepuke kama ukoma! Wanarudisha maendeleo ya nchi nyuma. Tz imejaa neema na hata kama mikoa michache itakumbwa na uhaba wa chakula mikoa inayopata mvua za kutosha inaweza kabisa kuwashibisha wengine. Tuache siasa za kejeli na...
  5. Mlasani

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekuta mafuta ya KY na babycare kwenye mkoba wa mchumba wangu

    Ku
  6. Mlasani

    JamiiForums Tanzania Orodha ya wadaiwa sugu HESLB yaibua mapya

  7. Mlasani

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo kuwafikisha Mahakamani wadaiwa sugu 142,470 kama wakishindwa kulipa ndani ya siku 30

    sijui kama magereza yatatosha
  8. Mlasani

    JamiiForums Tanzania Lema na ndoto hizi dhidi ya Rais, sheria ifanye kazi, tumemchoka

    Acha upuuzi
  9. Mlasani

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya wilaya ya Rombo chini ya CHADEMA yapaa kwa maendeleo ya kasi sana

    Hahaaaaah wanajitutumua tu hawa jamaa hakuna jipya! Tunategemea kwamba UPINZANI utoe uongozi mbadala wenye tija hasa tuone ustawi wa halmashauri na watu wake wakipata huduma bora za kijamii. Rombo bado hakuna lililofanyika la maana chini ya Chadema...tuache kudanganyana. We need alternative...
  10. Mlasani

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya wilaya ya Rombo chini ya CHADEMA yapaa kwa maendeleo ya kasi sana

    Pole sana. hujitambui
  11. Mlasani

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya wilaya ya Rombo chini ya CHADEMA yapaa kwa maendeleo ya kasi sana

    We MAIYE JIbu!!! hili suala la ulevi uliopindukia hadi kupelekea kashfa za kuagiza wanaume kenya ni dhahiri Chadema hamuitakii mema Rombo. watu ni walevi kupindukia! still hakuna mnachofanya kuinusuru jamii ya wana Rombo na hiyo hali. Tuwe realistic...baadhi ya wenyeviti na watendaji wenu ni...
  12. Mlasani

    JamiiForums Tanzania Kwa hili wasilaumiwe waandishi, CHADEMA, Lowassa bali tukubali uwezo wa Magufuli ni mkubwa

    Tz ina safari ndefu ndg! Lazima watu wakubali JPM ni kiboko...na hakika kama ni Rais wa nchi tumepata mtu makini. People should change their mindset! ni ukweli ulio wazi kuwa akili ndogo hujadili watu na matukio...of which is nonsense! Mtu mjanja hujikita kujadili hoja na uhalisia wa maisha...
  13. Mlasani

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya wilaya ya Rombo chini ya CHADEMA yapaa kwa maendeleo ya kasi sana

    Uongo mtupu! hawa jamaa wanatafuta tu sifa
  14. Mlasani

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya wilaya ya Rombo chini ya CHADEMA yapaa kwa maendeleo ya kasi sana

    Si kweli ndg! huenda mna nafuu
  15. Mlasani

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya wilaya ya Rombo chini ya CHADEMA yapaa kwa maendeleo ya kasi sana

    Upuuzi tu! kuna mengi ya kufanya ambayo bado hamjayagusia kabisaaa hasa tarafa za mashati usseri na Tarakea. Rombo sio Mkuu tuu! muwe makini this time hatutaki mchezo kabisaaa. Mbunge haoneshi kama anajitambua....huduma nyingi za kijamii wilaya ya Rombo ni hovyo....haitoshi kusema tu halmashauri...
Back
Top Bottom