Recent content by MLAPUNDA

  1. M

    Yaliyojiri Kutoka Ikulu: Mahojiano ya Rais John Magufuli na Wahariri wa Vyombo vya Habari

    Tangu mwanzo wa mahojiano Mayala ndiye ameuliza swali la msingi hayo ndiyo maswali ila pombe amejikanyaga tu.
  2. M

    Yaliyojiri Kutoka Ikulu: Mahojiano ya Rais John Magufuli na Wahariri wa Vyombo vya Habari

    Hawa waandishi veep mbona hawaulizi maswali ya kushiba?
  3. M

  4. M

    Ubatizo wa kwanza wa mtoto ni tarehe 01/09/2016

    uko sahihi kabisa ila kuna mijitu huwa inafanya maksudi sio kama haijui inajua kabisaa ila inajitia uwendawazim tyu
  5. M

    Ubatizo wa kwanza wa mtoto ni tarehe 01/09/2016

    RingaRinga njooo hukuuu
  6. M

    Ubatizo wa kwanza wa mtoto ni tarehe 01/09/2016

    demokrasia Ni mfumo wa siasa ulio na uhuru wa kuchagua viongozi ambao wananchi wanataka na kuendesha nchi bila mabavu ila kwa masikizano utakuwa umelielewa vizur somo ndugu Ruttashobolwa
  7. M

    Ubatizo wa kwanza wa mtoto ni tarehe 01/09/2016

    kama kuna demokrasia huo ubatizo wa moto watoka wapi?
  8. M

    Ubatizo wa kwanza wa mtoto ni tarehe 01/09/2016

    ndo unatoka usingizin eee unaelewa vizur maana ya demokrasia
  9. M

    Ubatizo wa kwanza wa mtoto ni tarehe 01/09/2016

    mmmm huo ubatizo wa Moto twausubiri kwa ham kweli ili tuuone kama unatufaa sisi watanzania
Back
Top Bottom