Ubatizo wa kwanza wa mtoto ni tarehe 01/09/2016

Abuu Kauthar

JF-Expert Member
Jul 10, 2011
3,986
5,786
UBATIZO WA KWANZA WA MOTO NI TAREHE 1/9/2016.

Na Thadei Ole Mushi.

Fuatilia nchi zote zilizoendelea anzia Marekani, China, Urusi na kwingineko walitanguliza maendeleo kabla ya Demokrasia. Kwa nchi nyingi za Afrika tulitanguliza Demokrasia badala ya maendeleo.

Kwa sasa nchi yenye mafanikio makubwa na inayozidi kupiga hatua ndani ya Ukanda wetu wa Afrika mashariki ni Rwanda. Ukiambiwa miaka ya 90 kulikuwepo na vita vya wenyewe kwa wenyewe hutokubali kwa jinsi inavyokimbia kimaendeleo. Unajua kwa nini?? Ndani ya Rwanda kuna baba mmoja tu kwa sasa akisema wakalime wanaenda kulima, akisema rushwa stop watu wanafunga wallet zao.

Tanzania tumezoea kubembelezana sana, JK alitupa ruhusa ya kuzurura usiku na Mchana kupiga tu Domo. Kwa miaka yote kumi kila kukicha ni maandamano na vurugu mpaka sisi wenyewe na hata wapinzani wakasema kwa kweli tunahitaji raisi mkali zaidi ya JK na yeye alituahidi kuwa atakuja.

Nani aliyekuwa anaifahamu Libya ya mliyekuwa mnamuita Dikteta?? Ni libya ipi ya kukumbukwa ni hii inayoruhusu maandamano na vurugu au ni ile ya Gadafi??

Nendeni Misri nao kuanzia January hadi december wapo mtaani wanaandamana na kutafutana kwa mitutu ya Bunduki wakati Mubarak waliyekuwa wanamuita Dikteta akiwa hayupo madarakani.

Dola zote kubwa zilizokwisha wahi kujengwa Duniani zilijengwa na watawala kama Mh John Pombe Magufuli. Tafuta dola yoyote ile zamani iliyokuwa kubwa halafu tafuta style ya uongozi uliyokuwepo.

Niliwahi kusema na nafurahi kwa kuwa hata Raisi wetu analiona hili la damu za watoto wa maskini kuwa daraja la kutafuta unaarufu. Serikali imeruhusu maamdano kwa sharti la Mbowe na Lowassa pamoja na familia zao kuwa mstari wa mbele natamani hili litatokea.

Na pia natamani maandamano haya yakianzia Kule Hai awaite kina Sugu, Lema na wengineo waanzie maandamano pale nyumbani kwake au kwenye hotel yake ya Protea kule Machame.

Mbowe anahubirije Demokrasia wakati yeye haishi yale anayoyazungumza?? Kama Kitila, Mwigamba na Zito watu watatu tu walikaa mahali wakaandika waraka tena wakausave kwenye PC zao ila waliishia kufukuzwa kama mbwa hiyo ndio domekrasia??

Hivi Mbowe anapogombeaga uenyekiti wa chama huwa anashindanishwa na nani??

Lowassa alipopewa nafasi ya kugombea uraisi mwaka jana alishindanishwa na nani??

Kwa kweli atakaye kutana na dola kwenye maandamano ya tarehe 1/9/2016 shauri yake msianze tu kutusumbua kwa kututumia picha mkiwa mmelowa damu.

Narudia hakuna hoja yoyote ya msingi ya kuwafanya watanzania kufanya maandamano nchi mzima hiyo tarehe tisa hili ni jaribio la UHAINI.

Kama ni swala la Tulia mlimkimbia wenyewe na kama hakufuata kanuni zilizotungwa na bunge kuongoza chombo hicho kuna taratibu za kudeal naye si kuja kusumbua wananchi.

Kama ni la Bunge live huwa tunaliona kwenye kipindi cha marudio ya usiku na hakuna uhusiano wowote kati ya bunge live na kazi za mbunge awapo bungeni.

"Kila mmoja afanye siasa kwenye eneo alilochaguliwa,Kingu mbunge wa ikungi magharibi afanye mikutano palepale kwake alipoahidi shughuli za maendeleo,Mbowe afanye siasa palepale hai alipochaguliwa na kuahidi kuwapa maendeleo,kila mmoja aliyechaguliwa afanye siasa eneo lake.Sitaki kuona mtu anatoka HAI anakwenda KAHAMA kufanya mikutano n.k Mbunge au Diwani wa HAI au Mbeya anamamlaka ya kuingia kwenye vikao vya maendeleo ndani ya majimbo yao,huwezi kuwa Mbunge wa Ubungo vikao vya maendeleo ukafanyie kwenye eneo lako.

Wanaotaka kuandamana au kufanya mikutano kiholela kwanini wanasubiri mwezi wa 9?Wafanye mikutano hata leo ili wajue mimi ni nani.Siwezi kugeuza hii nchi ya siasa,nataka nchi ya maendeleo tu.
Siasa zilishakwisha wakati wa KAMPENI,muda huu ni KAZI TU."

Hiyo ndio kauli ya Raisi nafikiri hii ndio siku Mbowe atabatizwa kwa Moto kama atakuwa mstari wa mbele.

Ole Mushi.

Copy and Paste.
 
mmmm huo ubatizo wa Moto twausubiri kwa ham kweli ili tuuone kama unatufaa sisi watanzania
 
Na wabatwizwe tuu Nyumbu kutoka serengeti.

Hii nchi ina demokrasia ya hali ya juu kwanza ingekuwa kuna udikteta ilitakiwa wajumbe wote walio shiriki kwenye lile tamko la kushawishi vijana kushika UKUTA.. wawekwe kizuizini hadi disemba.
 
ndo unatoka usingizin eee unaelewa vizur maana ya demokrasia
 
Na wabatwizwe tuu Nyumbu kutoka serengeti.

Hii nchi ina demokrasia ya hali ya juu kwanza ingekuwa kuna udikteta ilitakiwa wajumbe wote walio shiriki kwenye lile tamko la kushawishi vijana kushika UKUTA.. wawekwe kizuizini hadi disemba.
Zamu yako ikifika usitupe..nihifadhie natumia!
 
Attachments

  • downloadfile-4.jpeg
    downloadfile-4.jpeg
    6 KB · Views: 46
Na wabatwizwe tuu Nyumbu kutoka serengeti.

Hii nchi ina demokrasia ya hali ya juu kwanza ingekuwa kuna udikteta ilitakiwa wajumbe wote walio shiriki kwenye lile tamko la kushawishi vijana kushika UKUTA.. wawekwe kizuizini hadi disemba.

demokrasia
Ni mfumo wa siasa ulio na uhuru wa kuchagua viongozi ambao wananchi wanataka na kuendesha nchi bila mabavu ila kwa masikizano

utakuwa umelielewa vizur somo ndugu Ruttashobolwa
 
Na wabatwizwe tuu Nyumbu kutoka serengeti.

Hii nchi ina demokrasia ya hali ya juu kwanza ingekuwa kuna udikteta ilitakiwa wajumbe wote walio shiriki kwenye lile tamko la kushawishi vijana kushika UKUTA.. wawekwe kizuizini hadi disemba.
Sahihi kabisa mkuu..

Maana haiwezekani sheria za nchi yetu zinakataza mambo ya ajabu ajabu ya kushikishana ukuta lakini Nyumbu kwa akili za mwenyekiti wamebariki hilo na kutaka kuwashikisha watanzania ukuta..

Washikane wenyewe na ukuta wao.. wasitusababishie laana..
Nyumbu wakubwa hawa...
 
UBATIZO WA KWANZA WA MOTO NI TAREHE 1/9/2016.

Na Thadei Ole Mushi.

Fuatilia nchi zote zilizoendelea anzia Marekani, China, Urusi na kwingineko walitanguliza maendeleo kabla ya Demokrasia. Kwa nchi nyingi za Afrika tulitanguliza Demokrasia badala ya maendeleo.

Kwa sasa nchi yenye mafanikio makubwa na inayozidi kupiga hatua ndani ya Ukanda wetu wa Afrika mashariki ni Rwanda. Ukiambiwa miaka ya 90 kulikuwepo na vita vya wenyewe kwa wenyewe hutokubali kwa jinsi inavyokimbia kimaendeleo. Unajua kwa nini?? Ndani ya Rwanda kuna baba mmoja tu kwa sasa akisema wakalime wanaenda kulima, akisema rushwa stop watu wanafunga wallet zao.

Tanzania tumezoea kubembelezana sana, JK alitupa ruhusa ya kuzurura usiku na Mchana kupiga tu Domo. Kwa miaka yote kumi kila kukicha ni maandamano na vurugu mpaka sisi wenyewe na hata wapinzani wakasema kwa kweli tunahitaji raisi mkali zaidi ya JK na yeye alituahidi kuwa atakuja.

Nani aliyekuwa anaifahamu Libya ya mliyekuwa mnamuita Dikteta?? Ni libya ipi ya kukumbukwa ni hii inayoruhusu maandamano na vurugu au ni ile ya Gadafi??

Nendeni Misri nao kuanzia January hadi december wapo mtaani wanaandamana na kutafutana kwa mitutu ya Bunduki wakati Mubarak waliyekuwa wanamuita Dikteta akiwa hayupo madarakani.

Dola zote kubwa zilizokwisha wahi kujengwa Duniani zilijengwa na watawala kama Mh John Pombe Magufuli. Tafuta dola yoyote ile zamani iliyokuwa kubwa halafu tafuta style ya uongozi uliyokuwepo.

Niliwahi kusema na nafurahi kwa kuwa hata Raisi wetu analiona hili la damu za watoto wa maskini kuwa daraja la kutafuta unaarufu. Serikali imeruhusu maamdano kwa sharti la Mbowe na Lowassa pamoja na familia zao kuwa mstari wa mbele natamani hili litatokea.

Na pia natamani maandamano haya yakianzia Kule Hai awaite kina Sugu, Lema na wengineo waanzie maandamano pale nyumbani kwake au kwenye hotel yake ya Protea kule Machame.

Mbowe anahubirije Demokrasia wakati yeye haishi yale anayoyazungumza?? Kama Kitila, Mwigamba na Zito watu watatu tu walikaa mahali wakaandika waraka tena wakausave kwenye PC zao ila waliishia kufukuzwa kama mbwa hiyo ndio domekrasia??

Hivi Mbowe anapogombeaga uenyekiti wa chama huwa anashindanishwa na nani??

Lowassa alipopewa nafasi ya kugombea uraisi mwaka jana alishindanishwa na nani??

Kwa kweli atakaye kutana na dola kwenye maandamano ya tarehe 1/9/2016 shauri yake msianze tu kutusumbua kwa kututumia picha mkiwa mmelowa damu.

Narudia hakuna hoja yoyote ya msingi ya kuwafanya watanzania kufanya maandamano nchi mzima hiyo tarehe tisa hili ni jaribio la UHAINI.

Kama ni swala la Tulia mlimkimbia wenyewe na kama hakufuata kanuni zilizotungwa na bunge kuongoza chombo hicho kuna taratibu za kudeal naye si kuja kusumbua wananchi.

Kama ni la Bunge live huwa tunaliona kwenye kipindi cha marudio ya usiku na hakuna uhusiano wowote kati ya bunge live na kazi za mbunge awapo bungeni.

"Kila mmoja afanye siasa kwenye eneo alilochaguliwa,Kingu mbunge wa ikungi magharibi afanye mikutano palepale kwake alipoahidi shughuli za maendeleo,Mbowe afanye siasa palepale hai alipochaguliwa na kuahidi kuwapa maendeleo,kila mmoja aliyechaguliwa afanye siasa eneo lake.Sitaki kuona mtu anatoka HAI anakwenda KAHAMA kufanya mikutano n.k Mbunge au Diwani wa HAI au Mbeya anamamlaka ya kuingia kwenye vikao vya maendeleo ndani ya majimbo yao,huwezi kuwa Mbunge wa Ubungo vikao vya maendeleo ukafanyie kwenye eneo lako.

Wanaotaka kuandamana au kufanya mikutano kiholela kwanini wanasubiri mwezi wa 9?Wafanye mikutano hata leo ili wajue mimi ni nani.Siwezi kugeuza hii nchi ya siasa,nataka nchi ya maendeleo tu.
Siasa zilishakwisha wakati wa KAMPENI,muda huu ni KAZI TU."

Hiyo ndio kauli ya Raisi nafikiri hii ndio siku Mbowe atabatizwa kwa Moto kama atakuwa mstari wa mbele.

Ole Mushi.

Copy and Paste.
Ulicho kopi...
Kina flaws nyingi sana ..

Kwanza Kinatufundisha kuogopa, badala ya kuimarishana kuwa majasiri.

Dikteta hawezi kua nzuri milele na milele.
Kwanza Neno "DIKTETA" lina ukakasi.

nchi tajwa HAPO except Rwanda na Libya ni za ughaibuni.
Bare in mind AFRICA IS DIFFERENT.

Tunatofautiana sana katika MILA na tamaduni NA WESTERN WORLD

Pia case studies za madikteta kww bara la Afrika haziridhishi.

Ni upuuzi kumsifia kiongozi anayekiuka katiba aliyoApa kuilinda.
Haina maana.

DEVELOPMENT ni pamoja na kua na STRONG AND EFFECTIVE OPPOSING POLITICAL PARTIES .
So hii hapa ni kigezo MUHIMU kisichopatikana kwa viongozi madikteta.

Kuhusu Libya:- unasahau kua wananchi wake walimchoka, wakamkataa.

Demographic data:- Population ya libya milion 6 tu, utajiri mkubwa wa mafuta. Maendeleo KWA MAANA YA MATERIAL POSSESION NI POSSIBLE.
Ila hii haikuwazuia walibya kuandamana kukataa mtoto wa gadafi kumrithi baba yake.

"abrahamic mass law." INATUONYESHA KIU YA MWANADAMU SIO KUFUGWA KAMA NDAMA AU NGOMBE WA MAZIWA AKILISHWA PUMBA NA MAJANI. Kitu ambacho gadafi aliwafanyia walibya miaka yote wakamchoka.

Hii law inasema :- Mahitaji fulani ya mwanadamu yanapotimizwa mengine mapya hujitokeza na kugeuka kua tatizo ambalo mwanadamu hu struggle TENA ILI kuyapata.

By the way:- kiu ya maendeleo ya dikteta (alledgely) aliyepo imejengwa kwa kiasi kikubwa sana na upinzani wenye nguvu. Tusisahau hili.
Upinzani una kila sababu ya kuungwa mkono. Kwa miaka zaidi ya 50 hawa jamaa walilala usingizi. Ni upinzani ndio uliowaamsha Kufikiri nje ya boX.
Upinzani ni kama watchdog, kwa chama tawala.

Demokrasia inapobakwa inabidi tupinge kwa nguvu.
 
uko sahihi kabisa ila kuna mijitu huwa inafanya maksudi sio kama haijui inajua kabisaa ila inajitia uwendawazim tyu
 
Huu ni mkwara mbuzi tu, siku hiyo hakuna atakayeandamana. Walishindwa kulinda kura mwaka jana, mita 200 walizodai. Pia walishindwa kwenda Dodoma kuzuia mkutano wa CCM. Uzuri ni kwamba huku mitaani watu hawana hata mpango wa kuandamana. Wanajua kinachoweza kutokea katika maandamano.
 
Back
Top Bottom