Time for another political party to take
Over as its been More than 35 yrs of CCM and no positive progress. Viwanda vya kurithi kutoka kwa mzungu vimefungwa, mashule gamekwisha....kila siku ni Escrow, mara Richmond mara NBC mwisho mtasema mlima kilimanjaro umeuzwa....tumechoka na CCM...wabunge...
Jamani ni kwamba mlima kilimanjaro uko kenya au Tanzania. Sasa majirani zetu wameweka chapa kwenye ndege zao kama ku advertise. Sasa wasio jua yani tourists wataenda kenya ilikuona huo mlima au kupanda. Hapa tunapoteza mapato.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.