Hiki kitambulisho nilichonacho Mimi ndo cha ghalama hii yote.
Siamini Kama cha ghalama yote hiyo halafu kinazidi nyumba, matumizi na mshahara kwa mwaka mzima. Mbona Kama serikali inakinyma hadhi kupewa mm.
Hii nchi siielewi. Kama naumwa nakoswa pesa ya drip halafu nimepewa kitambulisho cha...
Ndo nimehakk siasa ni kazi Kama kazi zingine. Watu wanaongea wapate Juliakana.
Wabunge hivohivo mtu anataka bangi na mirungi iluhsiwe.
Mwingine naye anatk raisi asafili kbl ya kuulza hivo vikao vya nje kuna mwaklsh au la.
Tatizo watanzania mmezoea kudanganywa unaona kitu cheupe mtu anakwambia bluu.
Yani uwazi na ukweli hatupendiii. Mnapenda zuwepo bodi za uchunguzi kwa kila kitu.
Mie naamini binadamu Hana wema.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.