Recent content by Mkwimana

  1. Mkwimana

    ACT-Wazalendo waanza kuweweseka baada ya madhambi yao kuendelea kuanikwa

    Siku zote ukweli unaposemwa hutafsirika ni uchonganishi, uchafuzi, uongo, fitina, majungu, wivu n.k n.k Kweli huwaweka watu huru. Go on Kubenea go on MAWIO gazeti ambalo nikilikosa naumwa.
  2. Mkwimana

    Huyu ni nani na alifuata nini Ikulu?

    Yawezekana yamemzidia kama Ray C so kwa kuwa anawafahamu amekwenda kuomba msaada wa aina ileile.
  3. Mkwimana

    Sasa ni Dhahiri: CHADEMA Walikosea Kumfukuza Zitto!

    UKAWA ipo kabla ya ACT na itaendelea kuwepo, uwepo wa ACT ndani ya UKAWA ni hiyari ya UKAWA na ACT ila haitawezekana miaka mia moja.
  4. Mkwimana

    Anna Mghwira: Marufuku wanachama wa ACT - Wazalendo kushabikia UKAWA

    UKAWA ipo kabla ya ACT na itaendelea kuwepo, uwepo wa ACT ndani ya UKAWA ni hiyari ya UKAWA na ACT ila haitawezekana miaka mia moja.
  5. Mkwimana

    Dr. Slaa Hatatuangusha Watanzania

    Muuangano hautavunjika kirahisi udhaniavyo. Mtasubiri saaaana matokeo yake magogoni hiyoooo. Mjiandae kuwa kambi ya upinzani tu kwa miaka mitano then mnapotea kabisa kama ilivyokuwa KANU nchini Kenya.
  6. Mkwimana

    Wako wapi vijana jasiri kama Hussein Bashe ndani ya CCM? Lowassa sasa fanya hivi...

    MwanaDiwani We have plenty of political analyst in the world who have zero political practise and we live in a world where everybody has an opinion and we have to live with that. Wewe haki yako ilipochukuliwa na wenye CHADEMA ulifanya nini zaidi ya kutishia kuwa utaitisha mkutano wa waandishi...
  7. Mkwimana

    Nape Ampongeza Lowassa kwa kutii Agizo la Chama

    Kuna mtu hapa njaa imemnyoosha sasa anajihisi na yeye ni mtii eti anasema "umoja wao ni ushindi wao" Kama kweli wamoja si mumuunge mkono Lowasa kwa kumwachia uhuru wake mbona Lowasa tu wengine je?
  8. Mkwimana

    Spika Makinda ahairisha bunge ghafla baada ya muongozo wa Mh Mnyaa.

    "Akajirekebishe huko walikomtuma" Msaliti huchukuwa muda saaaaaaana kujitambua, hebu tukumbuke Yuda Eskalioti ilikuwa rahisi kutubu pale alipotendewa muujiza wa kuunganishwa sikio baada ya kukatwa na wale waliomkamata Yesu. Ni lazima itimie, kama sio leo kesho.
Back
Top Bottom