Hapa kwetu Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya (Mbeya DC), Mkurugenzi Mtendaji wetu, Erica Yegella ana changamoto kadhaa kuhusu matumizi ya ofisi yake:
1. Hakufanya kikao na Baraza la Wafanyakazi kabla ya Bajeti
Kila mwanzoni mwa mwaka kunatakiwa kufanyike Baraza la Wafanyakazi kwaajili ya kupitisha...
Katika maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani 2026, Wadau wa Sekta ya Habari wamekutana kujadili masuala mbalimbali yanayohusu maendeleo ya tasnia hiyo, hususan katika kukabiliana na kasi ya mabadiliko ya teknolojia.
Akizingumza leo Aprili 29, 2026, Mwenyekiti wa Mkutano...
“Vita dhidi ya umasikini bado inaendelea, nikasema nitaisaidiaje Serikali kwa kidogo nilichonacho ili niwasaidie wenzangu, kuna vilio kila siku watu wanakopeshwa mikopo umiza, unakopeshwa Pikipiki kwa Milioni 3 unalipa Milioni 6, sio sawa, huo ni wizi na kuwaumiza watu.”
Hayo ni maneno ya...
Hali ya usalama barabarani imeendelea kuzorota huku malori ya kubeba mchanga yakihusishwa moja kwa moja na ajali nyingi zinazogharimu maisha ya wananchi wasiokuwa na hatia. Kila siku, barabara zinageuka kuwa hatari zaidi, huku madereva wa malori haya wakionekana kupuuza kabisa sheria zilizowekwa...
Sisi Wafanyakazi 160 tuliopo katika Mgodi mdogo ambao unapatikana Mkoani Mara, Wilaya ya Musoma, Kata ya Kigera, Kijiji cha Kwitope chini ya Kampuni ya IDERA au GDM tuna changamoto ambazo tunatamani jamii izisikie na ujumbe ufika kwa mamlaka husika ili utatuzi upatikane.
Tunacheleweshewa sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.