Lakini naona ni prestige kwako kwani mijadala yako ni ya wazi na huwafokei kama namna ya wao wakufokeavyo kiasi unatambua kabisa wamekasilishwa either na ukweli au jingene
Lakini naona ni prestige kwako kwani mijadala yako ni ya wazi na huwafokei kama namna ya wao wakufokeavyo kiasi unatambua kabisa wamekasilishwa either na ukweli au jingene
Ni sawa na kuhoji kuonekana kwa Philip mangula majukwaani ili kuvunja hoja ya anae eleze umashuhuri wake kwenye siasa kwa miongo hii, kisha badae ukaja kuwapa mfano wa bashiru Ally kakulwa anavyo spit majukwaani
Muheshimiwa una ujasiri mzuri wa kuhoji japo intention yako sijajua, isije kuwa ndio hidden agenda kama anayotuhumiwa Mohamed said ya kutetea dini yake "jambo ambalo sioni ubaya wake". Hivi kweli hushangazwi na ziada ya majibu ya bwana moh
Ni kitu gani hupelekea, mimi nimewahi kukaa pande zote na nimeexperience hali zote
Nikifanya Utafiti siku moja, alinishangaza dada mmoja yeye alisema ni gubu, kwamba hutokea automatically ndugu wa Mume kumchukia mwanamke
Hata wanawake wenzao?! Tena hawa ndio ugomvi wao huishia kulogana na mipasho
Ni kitu gani hupelekea, mimi nimewahi kukaa pande zote na nimeexperience hali zote
Nikifanya Utafiti siku moja, alinishangaza dada mmoja yeye alisema ni gubu, kwamba hutokea automatically ndugu wa Mume kumchukia mwanamke
Kwa Utafiti usio rasmi kumekuwa na kasumba ya wanawake punde tu wanapoingia katika ndoa kuanzisha bifu zisizo na msingi kwa ndugu upande wa Mume, huwa inashangaza zaidi hasa kwa Mume mwenye uwezo wa kifedha, hivi ni kwanini?
Huko America kwenyewe kunaudhibiti ili kucounter masuala mithali ya ugaidi na mengineyo, hebu jaribuni mara moja moja kuonyesha dhamira njema kwa serilikali, uongo si kitu kizuri
Ni mizaa au mizaha? Pascal punguza dharau! Unatumia fallacy of presumption kutohoa matusi ya rejareja ya wafanya fujo wa chadema, hebu staarabika na uanalyze sera na si kuhusudu mtu aliekuzidi uthubutu wa kuitumikia nchi yake huru
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.