Recent content by Mkwaruu Kombo-Tapa

  1. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM twendeni taratibu, Tundu Lissu hayupo peke yake. Atatushinda!

    Mm ni mwanaccm kusema kweli Lisu nimwombea sana.Mungu azidi kumpa uzima na roho ya kusahe. Amina Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
  2. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM twendeni taratibu, Tundu Lissu hayupo peke yake. Atatushinda!

    Asante kuliona hili mwanachama mwenzangu useye pepesa macho. Lisu ni mpango wa Mungu anayebisha abishe kwani muda unazidi kusonga mbele tutaendelea kuyaona. Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
  3. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Mwingira: Lissu ni mshindi, hajajenga flyover wala reli. Watu wanamfuata

    Mimi ni mwanaccm ila tangu Lisu aliporudi nilianza kuona hatari ya chama changu. Ninavyojua Mimi juu ya Lisu hakuna wa kumrudisha nyuma. Kumbuka chochote atakachofanyiwa Lisu ni hatari kwa mtenda ndani na nje.Kwa hiyo kila majira huja na mambo yake ambayo tunayaona kutoka kwa Lisu Sent from my...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Heshima kwa Dkt. Augustino Lyatonga Mrema

    Mku kwa hali ilivyo juu ya Lisu sidhani kama alivyodai ushindi wa mezani hatakubali kurudi nyuma kama alivyojinasibu.Na hili mwanaccm mwenzangu wakati umebadilika kumbuka vuguvugu la upinzani limezidi kukua kwani Mrema na Lisu ni watu wawili tofauti kwa msimamo na kila kitu. Kwa ujumla Lisu ana...
  5. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tuliwaambia upinzani ni imani, mkabisha. Kiko wapi?

    Itikadi ni Imani kamili inayoishi katika Mioyo mwa Wafuasi wanaoziishi hizo Itikadi.za hivyo vyama Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
  6. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Shinyanga: Salum Mwalimu amepata ajali eneo la Msoka akitoka kwenye kampeni za Urais jimbo la Msalala

    Pole sana. Mwenyenzi Mungu ampatie nguvu na uzima. Amina Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
  7. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwa uelewa wake, Lissu anaamini kabisa kuwa atakuwa Rais wa Tanzania

    Well done Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
  8. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Azimio: Bunge la Marekani laisihi Serikali ya Tanzania na wahusika wote kuhakikisha Uchaguzi utakuwa Huru na wa Haki

    Mlinzi wa Dunia hapangiwi akiamua kuja kutuchunguza hakuna cha kumzuia Mku kumbuka Sudani ya Al Bashiri na Saddam waliingia na kuwachunguza. Washindwa je kwetu Tanzania japo sio vizuri Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
  9. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Azimio: Bunge la Marekani laisihi Serikali ya Tanzania na wahusika wote kuhakikisha Uchaguzi utakuwa Huru na wa Haki

    Mku tujue hapa tulipofikia mpaka tunanyoshewa kidole na Umoja Ulaya na America tumefika je. Kikwete, Mkapa Nyerere na Mwinyi walikuwa vibara hapa kwani hizi nchi nilizozitaja hapa tulikuwa na historia nzuri nazo. Kwa nini hii miaka michache tuu hii historia zuri imeondoka gafla au kauli zetu...
  10. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kuna kila dalili huenda mwiko unaenda kuvunjika

    Mku kumbuka Lisu hakusukumwa kugombea ila ni kwa utashishi wake na na Chama cake na kwa historia yake pia imbeba sana Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
  11. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kuna kila dalili huenda mwiko unaenda kuvunjika

    Mku hata Ethiopia hayo yote yapo lakini Waithiopia wanaikimbia Nchi yao kila siku.Ccm tulikosea sana kuwekeza kwenye vitu badala kuwapa Raia kile kinachohitajika kwa wakati na mahali husika pia makundi kwenye chama ni mengi hasa wale waliodharauliwa na viongozi huku nao wakiwa ni viongozi pia...
  12. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kampeni za mwaka huu zitaiachia nchi nyufa za chuki, ubaguzi, dharau kwa dini na viongozi wake, hasira. Tunahitaji muafaka wa kitaifa

    Benson mwenyekiti wako wa zamani Mbowe avyoomba ufanyeke ktk 9/12!2019 hukumwelewa Mku. Na nakumbuka aliacha ujumbe huu ktk Taifa yaani siku KIKINUKA tusimtafute. Yy alishaona Itikadi zilivyoligawa taifa pendwa. Tuombe Amani itamalaki
  13. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hali si shwari ndani ya CCM, Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Bashiru Ally amekemea vikali baadhi ya wanachama wanaopanga kukisaliti chama

    Tangu kuwa na pande mbili yaani ccm na asili mm nimebaki mtazamaji tuu. Hicho chenye hali ngumu ni kipi mku. Kwenye ukamanda sipo nilishapita bila shuruti Mku
  14. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hali si shwari ndani ya CCM, Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Bashiru Ally amekemea vikali baadhi ya wanachama wanaopanga kukisaliti chama

    Mku haya makundi ya sasa hivi ni zaidi kwani kumbuka hii ccm , Mimi wa ccm asili sina langu na wasionachakwao ndani chama changu ni wengi
Back
Top Bottom