Recent content by mkware

  1. M

    Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

    Sio kila alama inayotumiwa na free masons maana yake ni lazima mtu awe FM. Tuchukue Nyota kwa mf. Nyota inamaana nyingi hata katika biblia, sijui vizabu vingine vya dini maana ambazo si FMasonic. Bikira Maria kwa mfano anaitwa nyota ya asubuhi katika Litania ya loreto etc. Pia unayemuona...
  2. M

    Ukodishaji wa ndege za serikali, Risiti za Salma Kikwete

    swali ninalojiuliza ni hili; hivi malipo ya serikalini yanafanyika kwa dola ya kimarekani? ??????????????? just a challenge? Usd?
  3. M

    Masikitiko makubwa

    Mwenzenu nina masikitiko makubwa sana! Nimetoka kumsikiliza mbunge mmoja wa Marekani akisimulia ambavyo nchi yake ilikampeni na kutenga karibu Milioni 23 (kama si bilioni) dola za kimarekani kuhakikisha KENYA wanaingiza kipengele cha "UTOAJI MIMBA" (ABORTION) kwenye KATIBA yao mpya. Yaani kuna...
Back
Top Bottom