..hakuna chuo cha maana kinachotoa COC kwa watu wasiotaka kusoma na kuwa na background ya maths..mnashindwa hata kutumia google kulijua hili?..mnaelewa courses zinazofundishwa kwenye hiyo COC?.mkizifahamu mtaacha ujinga wa kudanganyana kuwa kuna short cut!
acheni ujinga wa kukataa elimu...uendeshaji wa driver aliyefika form four na asiyekwenda shule ni tofauti sana...ajali nyingi tz ni kutokana na kuwepo madereva wengi wapumbavu...kaangalie nchi zote ambazo wamekazia kwenye elimu utakuta ajali ni chache na mara nyingine hakuna..nchi kama Sweden...
..kijana hiyo COC unayotaka kusoma utafeli kama huna background ya maths na ndio maana wameweka uwe na angalau form four..utafeli...nenda kasome huko mnapodanganyana hawahitaji background ya maths...mtaala wa STCW ndio unavyotaka kwa level ya officers..hiyo COC sio lelemama kijana.!
..mle
..mkuu hawa wanapotosha..ili uwe Master Mariner (Captain) ni lazima usome maths & physics....na ndio maana seafarers wetu wanakosa kazi huko duniani kwa kukosa sifa..Capt wa meli ni kazi ngumu yenye kufanya calculated decisions kila wakati..meli kubwa zinazobeba containers na mafuta...
..mkuu usiwe mbishi sana...hiyo course ya COC kama hujapitia hizo unaita basic maths utafeli kabisa...hiyo course inahitaji ujue maths za Ship Stability and Trim...sasa kama hauna foundation ya basic maths utafeli tu..ni kwa faida yako na pesa ya course unayotaka kusoma
..mkuu seafarers/mabaharia hasa officers duniani kote kwa sasa ni wasomi na very competent..mabaharia wanaofanya kazi zenye kusafirisha mabilioni ya mali unataka wasiwe wasomi?.unafahamu designs za meli za kisasa zilivyo na complex systems onboard ndio ziendeshwe na officers wasiofahamu hata...
...mkuu growth rate ya dom ndio ipo slow ukilinganisha na uwekezaji uliofanywa na Gov toka miaka ya 1980s...toka enzi za sijui ikiitwa CDA walikuwa wanapata pesa nyingi sana kuliko mikoa mingi...ungekuwa ni mji wenye growth rate kubwa ungekuwa mbali sana...hiyo pesa ingewekwa Mwanza au Arusha...
..mkuu hiyo amount ni Kshs..ukitaka upate Tsh zidisha approx mara 20..so hiyo total Ksh 324.5 ukibadilisha kwenda kwenye Tsh ni Tsh 6.49 Bilion kwa mwaka ambayo ukigawanya kwa 12 months unapata kila mwezi ni Tsh 540.8 million.
..nadhani wameangalia upandaji wa gharama nyingine za uendeshaji mkuu..mafuta yakipanda maana yake spare parts zinapanda, oil zinapanda na labda hata gharama za mafundi wa services zinapanda..waheshimiwa walisema kila kitu kitapanda..sasa ukiweka vyote hivyo kwenye biashara ni kazi sana...
..mkuu una maanisha nn kusema "nyumba nzuri inaonekanaga"?..kila nyumba ni nzuri endapo tu anayeishi ameridhika nayo..ukija na kigezo cha sijui "kuonekanaga" kuna mtu anaweza kusema hata nyumba unayoishi wewe ni mbaya haifai binadamu kuishi just because amewahi kuona & kuishi nyumba nzuri kuliko...
..mkuu je una uhakika hiyo nyumba aliyokuwa anaishi baba yake ni mbaya kwa kiwango unachosema?.je baba yake aliwahi kulalamika mahali popote kuwa anaishi sehemu mbaya?..maana unaweza kuwa unafikiri makazi mazuri ni majumba makubwa ya ghorofa wakati sio preference ya kila mtu hasa wazee!..watu...
mkuu narudia kwa mara ya mwisho acha story za vijiweni..umewahi kufika Abuja?inafanana na design ya dom?.kama hujafika angalia basi hata YouTube uje useme hiyo design inafanana na dom katika mambo yapi....maana sikuona kinachofanana na dom kuanzia barabara hadi hizo huduma.
..sasa mkuu kupewa hadhi ya kuwa makao makuu miaka ya zamani ndio kujengwa?..yaani wanaijeria walivyo highly educated waende kucopy ramani ya mji wa dom ambao haujajengwa kweli?.unawafahamu wanaijeria?umeshawahi kufika Abuja ukafananisha na dom?..yaani wanaija waache kwenda kujifunza&kuchukua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.