Recent content by mkushiOg

  1. mkushiOg

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Ukweli wa too late??siyo vizuri aisee wanaume wengi huwa mnakosea sanaa hapaa mueleze mtu ukweli kabla hujala mbususu yake ili akupe mbususu akiwa anajua anampa mume wa mtu au mwanaume ambaye mbeleni anaweza geuka kuwa mumeweee
  2. mkushiOg

    Ruge Mutahaba, Efrahim Kibonde, Gardner G. Team Kataa ndoa tuna la kujifunza kwenu, tutawaenzi daima

    Heee so kumbe hata nyumba hakuwa nayo?usiniambie alkuwa anapanga??
  3. mkushiOg

    Kitu gani kilikushangaza mara baada ya kuingia kwenye ndoa?

    Upo sahihi kwa kweli,ni heri viondolewe kuliko yanayoendelea ni yanasikitishaa
  4. mkushiOg

    Kikao cha dharula; Wanaume wenzangu hebu njooni kidogo tusemezane kidogo

    Mfanyeje tena boss?si ni nyie mnaosema mke mmoja hatoshi??
  5. mkushiOg

    Kikao cha Wanaume: Usimkule Mke wa Mtu Hata Kama Kajirahisi Vipi Kwako

    😁😁😁hatuna nenooo tukitendewa vyema tunatulia na ndoa zetu wakituzingua ni watakuwa na vikao daily maana mtenda akitendewa……
  6. mkushiOg

    Kitu gani kilikushangaza mara baada ya kuingia kwenye ndoa?

    Dihaaa ww unataka kila siku?imekuwa food hiyo?😁😁ila ndoa mmmmh week inaweza kata bila bila bt nilochogundua hata kwenye uchumba si mpo mbalimbali so hamkulani kila siku bt i don know why mtu unakuwa unawaza mkioana mtakuwa mnakulana daily cjui coz ile mnakuwa mnalala wote kila siku.
  7. mkushiOg

    Kitu gani kilikushangaza mara baada ya kuingia kwenye ndoa?

    Mimi nilijua mkioana kile kiapo cha pale madhabahuni ndo maishaa mtakayoishii ile kupendana kweli,kuvumilianaa kutokusalitianaa weeeh nmeingiaa chamoto nmekionaa kuna watu jamani hawakiogopi kile kiapoo.!me nakiogopaa na namshkuru Mungu mwaka wa sita huuu nakiishii kila nikiwaza kukiendea...
  8. mkushiOg

    Kitu gani kilikushangaza mara baada ya kuingia kwenye ndoa?

    Umenichekesha sanaaa loooh😁😁😁🙌🏻
  9. mkushiOg

    Ushauri: Mke wangu anatembea na mfanyakazi mwenzie hadi kamzalisha

    Kwa kweli asiumize akili maana wanawake ni mbuzi tu na wanaume ni meee
  10. mkushiOg

    Never date a girl who can't respect your wife

    Madini matupuu🔥🔥
  11. mkushiOg

    Unaishi vipi na mwanaume asiyepokea ushauri wa mwenza/ watu wengine?

    Sasa hapo ndo umenishauri kweli?nikae niangalie familia inadidimia?weee ndo maaana nmekuja huku kupata mawazo ya kunivushaaa.
  12. mkushiOg

    Unaishi vipi na mwanaume asiyepokea ushauri wa mwenza/ watu wengine?

    Please naomba unisaidie point mbili tatu kwenye hapo pa kufanya kinachowezekana….nifanye vitu gani??
  13. mkushiOg

    Unaishi vipi na mwanaume asiyepokea ushauri wa mwenza/ watu wengine?

    Inabidi nianze kukubaliana na hili tu.
Back
Top Bottom