Recent content by MKUSHI89

  1. MKUSHI89

    Ushauri kwa wanaume wenzangu ukiwa na Hela Yako usijinyime kula vizuri na kujijali kisa familia, utakuja kujuta

    Mimi nikiwa na 50k, 20 naacha nyumbani 20 nanunua zangu Bapa la Konyagi na kitimoto ten najiunga bando, tena hiyo kitimoto nalia uko uko
  2. MKUSHI89

    Utofauti ya watu wa Dar na watu wa mkoani ni huu

    Ndio maana mimi nikipata nafasi ya kwenda kumtembelea ndugu Dar, wakikaa vibaya napiga mashine mke wa bro, piga mashine beki tatu wao na kama usiku lazima niwapake mafuta nyumba nzima
  3. MKUSHI89

    Nje na Tendo la ndoa ni kitu gani mwanamke anatoa kwa familia?

    Ukiona mwanaume na pumbu zake mbili anakaa nakuuliza wajibu wake kwa mwanamke jua huyo sio mwanaume ni Mwanajike tena yupo karibu kupo. 🚮🚮
  4. MKUSHI89

    Mikopo kwa njia ya simu kilio kipya kwa Watanzania

    Nikikumbuka niliwahi kupigiwa simu na kuambiwa nadaiwa na microfinance moja mtandaoni, jamaa nilipomwambia sina kitu nilisikia akicheka na kukata simu kumbe kucheka inaweza kuwa ndio taarifa zangu zilitumwa huko 😂😂
  5. MKUSHI89

    Zile barabara 8 zilizosainiwa tarehe 16.06.2023 kwa mbwembwe ziko wapi?

    Shida ya Nchi Yetu siasa ni Nyingi kuliko vitendo, ukienda Nchi za Ulaya wao hawafanyi kabisa siasa kwenye mambo ya maendeleo.
Back
Top Bottom