Recent content by Mkushi Mbishi

  1. Mkushi Mbishi

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kutuma pesa online nikiwa Pakistan kuja nyumban Tanzania?

    Nimeomba ushauri Kwa wanaojua, mtu mzima anapaswa kujielewa
  2. Mkushi Mbishi

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kutuma pesa online nikiwa Pakistan kuja nyumban Tanzania?

    Naomba muongozo mkuu sifahamu lolote naanza je?
  3. Mkushi Mbishi

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kutuma pesa online nikiwa Pakistan kuja nyumban Tanzania?

    Habar za majukumu ndugu zangu,kuna jamaa tunahitaji kufanya biashara ya yeye kununua bidhaa hapa Tanzania na mimi kumtumia kwenda Pakistan, sasa yupo mbali sana na bank maana njia nyepesi ingekuwa ni western union au money gram kwahiyo hatoweza kuwa anaenda huko mara Kwa mara kutuma pesa. Je...
  4. Mkushi Mbishi

    JamiiForums Tanzania Tunawezaje kumsaidia huyu, atumie dawa gani na hili ni tatizo gani?

    Anaomba ushauri huwa amepata tatizo la kuwashwa mwili sasa akawa anajikuna sana mpaka akatoka vidonda kwenye uume pia makalioni, na kila akijikuna sehemu zingine za mwili anatoka vidonda na hatimaye hufanya vijipu.
  5. Mkushi Mbishi

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona watu waoga kama Watanzania, wamemshika Tundu Lissu mwezi wa 3 huu mmekaa ndani

    Bro ningekuwa mjinga ningekurekodia video na nikuoneshe mazingira tunayofanya kaz na hao wakenya ungewasikia mwenyew, maana hapa pia wanakuona akili huna ila kumbuka sisi ni Wa Afrika na sisi ni ndugu...usimuongelee ndugu yako vibaya hili kutengeneza matabaka Usiku mwema, Acha hayo mambo bro...
  6. Mkushi Mbishi

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona watu waoga kama Watanzania, wamemshika Tundu Lissu mwezi wa 3 huu mmekaa ndani

    Sawa pumzika bro,kwan wewe unapata shida gani kuona mambo ya nchi Nyingine? Pumzisha akili tuendelee kuenjoy stim za jaba bro haya ya Tanzania tuachie wenyewe wewe haya kuhusu eti.
  7. Mkushi Mbishi

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona watu waoga kama Watanzania, wamemshika Tundu Lissu mwezi wa 3 huu mmekaa ndani

    Wew jamaa pole sana hapa nilipo kuna wakenya kibao wamekuja kufanya kaz na tunaendelea kuwapokea kama ndugu wa karibu na tunaishi kirafik kabisa na mpaka wake tunawaoza nyinyi ni ndugu zetu na sisi ni ndugu zenu sasa hayo mawazo unayatoa wapi.
  8. Mkushi Mbishi

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona watu waoga kama Watanzania, wamemshika Tundu Lissu mwezi wa 3 huu mmekaa ndani

    Kwani si utuache na Tanzania yetu bro unateseka na nn? Mpaka uanze mambo hayo. Basi ushauri wako unataka sasa sisi tufanye nini Kwa mtazamo wako? Nijibu
  9. Mkushi Mbishi

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona watu waoga kama Watanzania, wamemshika Tundu Lissu mwezi wa 3 huu mmekaa ndani

    Wa Mama yako hajawahi kukuongoza? Tumia ubongo wako vizuri au andasi za miraa inasumbua kichwani?
  10. Mkushi Mbishi

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona watu waoga kama Watanzania, wamemshika Tundu Lissu mwezi wa 3 huu mmekaa ndani

    Sisi ni Wa Tanzania sasa si utuache na Tanzania yetu bro, nyinyi fanyeni hayo mnayoona sawa na sisi mtuache tufanye tunayoona sawa Sasa kama sisi waoga wewe unateseka na nin au unataka tuweje? Sisi hatufanani na wengine wowote tuachie na njia zetu tulizochagua kuzipita hili kufika tunapotaka...
  11. Mkushi Mbishi

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona watu waoga kama Watanzania, wamemshika Tundu Lissu mwezi wa 3 huu mmekaa ndani

    Wa Tanzania hawawezi kufanya ujinga kama huu wa kuharibu miundo mbinu hii ni hasara ya nani sasa au huu ni upuuz I?
  12. Mkushi Mbishi

    JamiiForums Tanzania Je, huyu askari yuko sahihi ama anataka nimpe rushwa tu?

    Habar wakuu Kuna siku mida ya saa tatu usiku nilipita sehemu nikavamiwa na vijana wakanikaba,kunitishia silaha na wakafanikiwa kuniibia simu pamoja na pesa kidogo,nikaenda kuripoti kituo Cha polisi nikafungue kesi na kupatiwa RB. Nikamtafuta mtuhumiwa wangu kimyakimya maana anajulikana na...
  13. Mkushi Mbishi

    JamiiForums Tanzania Nina omba Msaada nina laki tisa nifanye Biashara gani? Mimi sio mwenyeji wa Tanga ila ningependa kufanya Biashara katika mkoa wa Tanga. Nipeni maoni

    Nunua dagaa wale wa baharini wanaitwa uwono Kisha uuze mikoan inalipa sana km utatulia na hautashobokea sana mademu wa kidogo mana Kule baharini utakapokuwa unanunua hiyo bidhaa ni mtihani shekh wangu. Ukipenda nitafute Kwa muongozo zaid
Back
Top Bottom