Recent content by Mkurya mweupe

  1. Mkurya mweupe

    Mkuu wa Mkoa wa Geita na Mkuu wa Wilaya wanavyoshirikiana na Mwekezaji wa Soko la CCM kuwanyonya wananchi wa Soko hilo

    Chanzo Cha maandamano ya October 29 ,ni huyu mwekezaji,kutokana na manyanyaso anayoyafanya kwa wafanyabiashara,ndo maana Katoro ilichafuka
  2. Mkurya mweupe

    Mkuu wa Mkoa wa Geita na Mkuu wa Wilaya wanavyoshirikiana na Mwekezaji wa Soko la CCM kuwanyonya wananchi wa Soko hilo

    Kiburi Cha huyu mwekezaji anakitoa ikulu ,ambapo kaka yake Mke wa mwekezaji ndugu Mwinyi yupo Ikulu na Samia ,ndo maana anakuwa na dharau Kama zote ,Kila akiguswa anasingizia Rais ndo kampa mamlaka yote Hadi wafanyabiashara ndani ya soko lake wanalipa Kodi kubwa
  3. Mkurya mweupe

    Mkuu wa Mkoa wa Geita na Mkuu wa Wilaya wanavyoshirikiana na Mwekezaji wa Soko la CCM kuwanyonya wananchi wa Soko hilo

    Nadhani Jana king Musukuma ulijionea dharau ya mwekezaji ,pia bado soko alilojenga anawaibia wafanyabiashara Kodi na amezidisha vyumba
  4. Mkurya mweupe

    Mkuu wa Mkoa wa Geita na Mkuu wa Wilaya wanavyoshirikiana na Mwekezaji wa Soko la CCM kuwanyonya wananchi wa Soko hilo

    Niliitwa kama mwandishi kwenye kikao cha wafanyabiashara wa Soko la CCM Katoro Geita. Nilifika kusikiliza kero zao kuhusu vitendo vya mwekezaji wa soko hilo ambavyo vimekuwa vikiwanyanyasa wafanyabiashara. Malalamiko yao yalikuwa mazito 1. Hakuna bei elekezi ya kodi kwenye soko. Mwekezaji...
  5. Mkurya mweupe

    PreGE2025 Serikali yalifutia usajili Kanisa la Askofu Gwajima kwa kuingilia masuala ya siasa kwa nia ya kuichonganisha Serikali na Wananchi

    Kitendo cha Serikali kufungia kanisa ,ambapo kazi ya dini ni kukemea maovu ,kisa kukosolewa ,ni kunajisi dini ya kikiristo,Dini zote za kikiristo tushikamane kupinga viongozi kuingilia mahubiri yetu yakiwagusa .....huu ndo muda wa kuangusha utawala kabisa.
  6. Mkurya mweupe

    Kampuni ya Kukopesha

    Asante sana
  7. Mkurya mweupe

    Kampuni ya Kukopesha

    Wadau wa JF ,naomba mnisaidie ni hatua gani za kufata kuweza kusajili na kumiliki kampuni ya mikopo ,pia ni gharama kiasi gani zinahitajika mpaka kukamilisha kabisa usajili wake .....
  8. Mkurya mweupe

    Usaili wa ajira za ualimu hauko fair

    Tanzania inabid tuachane na summative assessment turud kwenye formative assessment ,ndo kipimo bora cha uelewa kwa ngazi zote
  9. Mkurya mweupe

    Usaili wa ajira za ualimu hauko fair

    Nimeshangaa kuona jamaa yangu mmoja leo ambae huwa ni dereva bodaboda karibia mwaka wa tisa sasa akisema ametoka kufanya interview ya ualimu, Kwanza nimeshangaa maana sikuwahi kujua kama ni mhitimu wa degree ya ualimu mwaka 2015 kutokana na kumuona yupo serious na kazi hiyo Kinachonishangaza ni...
  10. Mkurya mweupe

    Waandikishaji daftari la wapiga Kura Bukoba Mjini wamepigwa pesa zao

    Nimepokea kwa masikitiko sana baada ya kuona baadhi ya vijana waliopata nafasi ya kushughulikia zoezi la uboreshaji daftari la kudumu la wapiga Kura. Jimbo la Bukoba Mjini wakitapeliwa kiasi Cha shilingi elfu sitini ,kwa kila mmoja yaani hela ya siku moja .Ni aibu kubwa kwa kijana ambaye...
Back
Top Bottom