Recent content by mkuruga

  1. mkuruga

    JamiiForums Tanzania Chadema wanashiriki Uchaguzi bila kujua. Kwanini? Kwa sababu wanafuatilia mikutano yote ya Kampeni, kupiga Picha na kukosoa inapobidi!

    Nikweli ata kule Facebook wanapost mfano ni yule kinara wa tonetone wa Canada Jana alipost maandalizi ya mkutano wa chaumma akasema eti mkutano haukuwa na watu
  2. mkuruga

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHAUMMA: Mgonjwa akifika hospitali apewe Ubwabwa

    Kura yangu wameipata haraka sana
  3. mkuruga

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa barabara Jwangwani

    Weka na picha wengine tupo mbali
  4. mkuruga

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kigamboni tunaenda na Yericko Nyerere

    Safi tutatiki
  5. mkuruga

    JamiiForums Tanzania GE2025 All in all, kwa CHADEMA kugoma kushiriki huu uchaguzi, kunawatesa na kuwafedhehesha sana CCM

    Poleni CDM imekula kwenu hiyo suborini muone baada ya uchaguzi namna mtaishi bila ruzuku ndio mtajua umuhimu wa kushiriki uchaguzi
  6. mkuruga

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHAUMMA yamjibu Polepole madai ya kutumika na CCM

    Matusi yanini Sasa nyie CDM manakwama wapi jamaani wekeni hoja mezani na sio kutukana TU haisadii Bali ukweli ndio huo
  7. mkuruga

    JamiiForums Tanzania INASIKITISHA SANA KUONA KUNA VIJANA WANAOMBA KUSOMEA KOZI YA UALIMU

    Mimi na mke wangu ni walimu lkn sitamani hata kidogo wanangu waje wawe walimu nikazi ya watu masikini
  8. mkuruga

    JamiiForums Tanzania GE2025 Amani Golugwa: CHADEMA hatujanuniana na Mbowe, faragha yake iheshimiwe

    Mbowe ni mwanasiasa hanaga mihemuko kama mwenyekiti wa sasa
  9. mkuruga

    JamiiForums Tanzania GE2025 Salum Mwalimu amesema yeye kuwa Rais ni Kichekesho haiwezekani bado sana

    Yeye akutaka kuwela wazi jambo kubwa namna hiyo kabla ya wakati wake kwenye siasa za ushindani jambo hilo ni la kawaida TU labda kwa wana harakati ndio haiwezekani
  10. mkuruga

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bila Tundu Lissu Kuachiliwa na CHADEMA Kuruhusiwa, uhalali wa Rais Samia Suluhu utahojiwa

    Ata akiachiwa bado hatashiriki uchaguzi kwasababu reforms walizotaka hazijafanyika
  11. mkuruga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuache unafiki wanaume wenzangu, utaweza kuongoza nyumba kikamilifu kama umri wako na wa mkeo ni sawa?

    Kikubwa ni kumpata mke mwema ambaye amekupa mungu sio mke mnakutana baa, disko, alafu ukategea awe mwema sahau kabisa
Back
Top Bottom