Recent content by Mkungilwa

  1. Mkungilwa

    Hivi baadhi ya watu mapenzi ya wizi ndo hobby yao?

    Mm nafikiri hao walikuwa wamekubali ulivyo watongoza ila walikuwa wanakupima. Je kweli umependa au umetamani?
  2. Mkungilwa

    Tabia za wanawake kulingana na maumbile yao

    Namba 1 nikweli mm ninae mfupi kiasi ,anawivu noma lakn ananijali sana.
  3. Mkungilwa

    Tuanze kwanza kuwashangaa Marais wa China, Rusia na Korea, ndipo tumalizie na Rais Magufuli

    Sikweli kwamba kuongea kiingeleza ni kipimo cha elimu(Elimu ya juu).wapo wanaongea ambao ELIMU yake ni la saba akaenda English course akawa mahiri katika kuongea kiingereza.Mtu kama huyo utadiriki kumweka kundi la wenye phD!!!.Alafu katika ujifunzaji watu wamegawanyika ktk makundi matatu (i)Wapo...
  4. Mkungilwa

    Nina mimba na mtoto ana miezi minne, naomba ushauri wenu nifanyeje?

    Nenda kwenye tiba za jadi watakusaidia ili kumkinga mtoto asizurike. Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
  5. Mkungilwa

    Hivi mdada inakuwaje umeolewa halafu kila wiki lazima uende kwenu kwa mama yako?

    Hawakunwi vizuri kwa mume ndiomaana wanatoka wanaenda kwa mama kama kisingizio ila hawaendihuko wanaenda kwa wa zamani ambaye alikuwa anamkuna vizuri lakn siwote.
Back
Top Bottom