Recent content by mkundajr

  1. mkundajr

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa hili

    Habari wana JF Nahitaji kujuzwa hili suala kwa wanaojua. Nina mdogo wangu amesomea Journalism(certificate). Anataka kubadili course asomee Biashara. Je itabidi aanze tena na certificate au anaweza akaendelea na Diploma?
  2. mkundajr

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Lowassa Monduli; Mwenyekiti wa CCM (W) avua gamba na wanachama 12647 warudisha kadi

    Hv hata kwa kuangalia kwa macho tu,hizo kadi zinafika elfu 12? Au ndo mnajitekenya na kucheka wenyewe?
  3. mkundajr

    JamiiForums Tanzania Je ukosefu wa choo unaweza kusababisha ukosefu wa nguvu za kiume

    Kwa anayefahamu. Nimekuwa na tatizo la kupata choo kwa muda mrefu sasa,na hata pale ninapopata huwa ni kidogo pia kigumu mno. Tangu hili tatizo limeanza ufanisi wangu kwenye uwanja wa ndoa umeshuka mno. Kwa mwenye kufahamu sababu na tiba ya tatizo hili naomba anifahamishe,na je nikitumia dawa...
  4. mkundajr

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kupata choo kigumu au kukosa choo kwa muda mrefu (Constipation). Fahamu chanzo na tiba yake

    Je Kutumia dawa za kuharisha kunaweza kumaliza tatizo??
  5. mkundajr

    JamiiForums Tanzania Kingunge kuhamia UKAWA rasmi muda wowote kuanzia sasa

    Chanzo cha habari hii?
  6. mkundajr

    JamiiForums Tanzania Social network ingekuwa ndio mahali pa kupigia kura

    Ukiifuatilia mitandao ya kijamii,unaweza ukaamini kuwa Ukawa watashinda uchaguzi kwa asilimia nyingi sana. Lakini kiuharisia asilimia ya watanzania wengi hawatumii social network,na ndio mtaji wa ccm
  7. mkundajr

    JamiiForums Tanzania Hoja ya CCM ya kupata kura za wanawake yavunjwa kwa ACT kumpitisha Anna Elisha Urais

    Kikatiba Umri wa Zitto haumruhusu kugombea urais
  8. mkundajr

    JamiiForums Tanzania NEC: Fomu ya Urais iliyotolewa kwa ACT-Wazalendo lazima ijazwe na Kitila Mkumbo tu!

    Acha uongo.......!!. Kwani kitila alikuwa mgombea binafsi???. Fomu ni mali ya chama na sio mali ya mgombea.
  9. mkundajr

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz & Wema Sepetu kuusapoti mfumo uliochokwa na Watanzania!

    Kwani dhambi?
  10. mkundajr

    JamiiForums Tanzania Kutoka Diamond Jubliee Dsm: Mapokezi ya Magufuli baada ya kurejesha fomu NEC

    Hv kati ya magufuli na Lowasa nani acyejua kujieleza?
  11. mkundajr

    JamiiForums Tanzania Mbeya wahoji uadilifu viongozi wa UKAWA

    Ukitaka kukwazana na hawa jamaa ongea ukweli unaowahusu,lazima utatukanwa tu. Yaani wao hujiona ni malaika,kila wakifanyacho ni kizuri. Ukiongea baya lao watakwambia unatumiwa,duuuuuh........!!.
  12. mkundajr

    JamiiForums Tanzania Yusuf Manji amekatwa kura za maoni za udiwani kupitia CCM

    Marafki wa mamvi wote chalii
  13. mkundajr

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba na Dr. Slaa, Nini kimejificha nyuma ya hiyo misimamo yenu?

    Mabadiliko hayawezi kupatkana kwa kuwategemea wanasiasa,hasa hawa waliojaa uchu wa madaraka na unafki. Kama watanzania tunataka mabadiliko ya kweli tuingie front kama walivyofanya wamisri,wamorroco na walibya kipindi kile
  14. mkundajr

    JamiiForums Tanzania UKAWA inahitaji maombi, mapambano ni makali mno

    Nchi hii mpinzani wa kweli ni Mchungaji Mtikila peke yake,wengine wote wananunulika
  15. mkundajr

    JamiiForums Tanzania Kutoka NEC/Lumumba: John Magufuli kuchukua fomu ya kugombea Urais wa JMT

    Unashangaa kupungiwa? Ukpungiwa na ww punga
Back
Top Bottom