Recent content by mkulimamiwa

  1. M

    JamiiForums Tanzania TANESCO, hongereni kwa kujiandaa na Mvua za Elnino, mmesema umeme hautakatika

    Labda isiitwe Tanesco Kama itaendelea kuitwa Tanesco, hampati Umeme
  2. M

    JamiiForums Tanzania Msanii Rick Ross wa Marekani aliyempongeza Samia wiki iliyopita leo kakamatwa na polisi kwa unyanyasaji

    Na zile habari za kuja bongo ndo kwa heri???
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwa asilimia kubwa Watanzania wana roho za kichawi

    Shetani wewe, Kumbafu kabisa! Nini Cha maana Samia amefanya ukiondoa mauwaji alofanya?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Before JPM kuondoka…. Kulikuwa na matukio mengi sana ..iliogopesha

    Mkuu, ni kitambo sana huwa nakufuatilia, naweza kusema, wewe ni miongoni mwa jamii ya watu wengi na kati ya watu hao, wewe ni wa kipekee, huna huluka ya ushabiki na kufuata mkumbo Ni miongoni mwa watu waliochagua kutumia akili na si mkumbo na kufuata upepo Endelea kuelimisha mkuu, huwenda...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Baba Levo kavuka mipaka yake, barabara za jimboni kwake zinategemea makusanyo ya kodi.

    Halafu zikikusanywa zinaishia kwa kina budul
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ukraine imepewa saa 24 na Russia , la sivyo watakutana na mashambulio ambayo hawajahi kuyaona...

    Putin anawakati mgumu kuwahi kutokea
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwa kifupi: Lissu alichofanya leo mahakamani

    Dunia yetu ya watu weusi, watu wote wenye akili timamu na wasomi haiwahitaji Inataka watu kama kiina dotto Maghali na kina Tlaatlaah na wajinga wengine
  8. M

    JamiiForums Tanzania Makonda kufyatua Jezi mpya zenye nembo ya Mama?

    Doh! Huyo jamaa si ndo wale wale koopo tupu,
  9. M

    JamiiForums Tanzania Video: Netanyahu ahutubia viti vitupu wajumbe wengi wasusa kumsikiliza

    Mkuu, kapicha basi, sisi hatuko huko UNGA
  10. M

    JamiiForums Tanzania Video: Polisi adaiwa kumuua mwananchi kwa risasi Kilosa

    Sasa naanza kuamini, si Kila vikundi vya uasi katika nchi mbalimbali vilianza tu bila sababu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Chalamila muogope Mungu: upandacho ndicho utakachovuna

    Mpaka hivi Leo, nimekuwa na mashaka ya kuendelea kuhusu chanjo za CVD 19, Iangalie safu nzima ya CCM inavyofanya, maana hao wote ni wahanga wakuu wa kutumia kwa lazima chanjo hiyo ili kuwaridhisha mabwanyenye yenye mradi huo wa kutilia mashaka Hivi, ni binadamu Gani ambaye kakosa huruma hata...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Heche leo Meatu - Simiyu

    Ila Chadema...???? Kimepitia magumu ya Kila namna, na kadiri kinavyozidi kukandamizwa, ndivyo kinavyozidi kupendwa na Malika yote Tanzania Hiki chama hakiwezi kufa kwa figisu figisu za kijinga kijinga ambazo CCM wanafanya
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi: Kuhusu Bank Statements za Heche, mnatingisha meza yenye vinywaji vya gharama

    Na wewe ni miongoni mwao? Mbona akili zimekuruka?
  14. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hatimaye Afande Sele awakumbuka Waliouliwa 29.10.2025 kwenye Miaka 30 ya Bongo Fleva

    Kilichofanyika October 29 ni mtu mpumbavu tu anayesema eti tusahau bila ya kuwajibishwa mhusika
Back
Top Bottom