Recent content by Mkulima wa Kuku

  1. Mkulima wa Kuku

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kuweka protector aina ya liquid tupeane mrejesho wa maendeleo ya simu zetu kama zilidumu

    Mimi ya kwangu bado iko vizuri sana na kwa kweli simu haina mchubuko wowote kwenye glass. Ninavyoitesa hii simu ingekuwa zile za kwanza ingeshaonyesha michirizi, japo ni mwezi nadhani wa tatu tangu nimeweka. Silalamiki kwa kweli
  2. Mkulima wa Kuku

    JamiiForums Tanzania DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Watu wa Mbagala tutapata lini huduma ya maji? Natokea kata ya Mianzini
  3. Mkulima wa Kuku

    JamiiForums Tanzania Athari ya mvua: Hali ikoje maeneo mbalimbali hapa nchini kufuatia mvua inaonyesha

    IPO kubwa sana kwa karibu wiki sasa
  4. Mkulima wa Kuku

    JamiiForums Tanzania Waraka wa Maaskofu KKKT: Tunasikitishwa na matukio ya kupotezwa watu, kubanwa kwa Uhuru wa Mahakama, Bunge na Tume ya Uchaguzi...

    Unataka uniambie kuwa wako kama waandishi na watu fulani hivi wanavaaga magwanda? Mwandishi wa Tza hawezi kukemea jambo kama hajaguswa mmojawa
  5. Mkulima wa Kuku

    JamiiForums Tanzania Waraka wa Maaskofu KKKT: Tunasikitishwa na matukio ya kupotezwa watu, kubanwa kwa Uhuru wa Mahakama, Bunge na Tume ya Uchaguzi...

    Watz wa namna hii kwenye karne hii...suala LA chadema hapa linakujaje? Jamani mkiambiwa msome kidogo mnakimbilia kwenye kamari...haya ona sasa !!!!
  6. Mkulima wa Kuku

    JamiiForums Tanzania Waraka wa Maaskofu KKKT: Tunasikitishwa na matukio ya kupotezwa watu, kubanwa kwa Uhuru wa Mahakama, Bunge na Tume ya Uchaguzi...

    Wape muda kwanza unaweza kuogopa utakayosikia toka kwao
  7. Mkulima wa Kuku

    JamiiForums Tanzania Waraka wa Maaskofu KKKT: Tunasikitishwa na matukio ya kupotezwa watu, kubanwa kwa Uhuru wa Mahakama, Bunge na Tume ya Uchaguzi...

    Usijaribu kupotosha kaa kwenye context ya kinachozungumzwa kumbuka na we we ni mtanzania
  8. Mkulima wa Kuku

    JamiiForums Tanzania Mimba kwa wanafunzi shuleni zaongezeka mara dufu

    Nani aliyesema kuwepo kwa vitisho au sheria husaidia kupunguza uhalifu? Ni vema kuangalia visababishi vya tatizo, namna ya kukabiliana navyo na so vitisho na sheria kal
  9. Mkulima wa Kuku

    JamiiForums Tanzania Kauli za viongozi wa Tanzania zenye utata!

    JF-Expert Member #1 Today at 12:48 AM "Tukiwa kwenye vikao ndani ya bunge Mimi ndo nachagua nani azungumze, mkimchagua Mtulia kuwa mbunge, akinyoosha mkono tu nitakuwa nampa nafasi kwa sababu atakuwa ni mwenzetu sio kama wale wanaomaliza mda kwa kuishambulia serikali." Dr. Dada kwenye kampeni za...
  10. Mkulima wa Kuku

    JamiiForums Tanzania Nyumba mbili za Lugumi zauzwa kwa Dr. Shika kwa Tsh. 2 bilioni. Mnunuzi abainika kuwa ni tapeli, mnada kurudiwa

    Huyu doc kiboko! Anatokea mkoa gani huyu daktari?
  11. Mkulima wa Kuku

    JamiiForums Tanzania Kila kukicha kodi kwenye magari-ni ubunifu au kushindwa?

    Mwezi Julai waliposema wanaondoa road licence kwa wenye magari kuna watu walifurahi. Si mimi kwa kiwango kile kwani nilijua wanataka kutoza zaidi kwa kuweka kwenye mafuta. Kumekuwa na malalamiko mengi kuhusu ajali za barabarani kutopungua kwa kuongeza idadi ya askari wa barabarani kwani mtazamo...
Back
Top Bottom