Recent content by mkulima gwakikolo

  1. mkulima gwakikolo

    JamiiForums Tanzania Ni hivi, baada ya kukataa kuandika maelezo kuhusu Uchochezi kwenye kituo cha Polisi ilibidi adhaminiwe maana Uchochezi una dhamana

    Nimejikuta nmecheka tu.So waliamua kubadili uhalisia kuwa Uongo ndani ya Selo tunayohisi ndipo penye usalama ,au sijaelewa ?Nacheka tu mimi hapa.
  2. mkulima gwakikolo

    JamiiForums Tanzania Kuna viashiria vikubwa vya uvunjifu wa amani siku zijazo…

    Hongera Mwanakijiji ,sijui kama watakusikiliza mana matumbo yao ndyo mbongo zao.Hali si hali...sana
  3. mkulima gwakikolo

    JamiiForums Tanzania Mdude Nyangali, Wakili Mwabukusi na wenziwe wadaiwa kuundiwa mashtaka ya Uhaini

    Mbona Kenya maandamano sio uhaini, mtu akisema kesho ntaplani nikuibie ng'ombe wako,atakua kakuibia tayari? Na mahakamani atahukumiwa kakwibia ng'ombe wako kwa kauli ile??
  4. mkulima gwakikolo

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi liendelee kuwakamata wote wenye kuleta maneno ya Uchochezi na kuwatupa Ndani kwa mahojiano

    Toa mifano ya matusi na uchochezi waliofanya .
  5. mkulima gwakikolo

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi liendelee kuwakamata wote wenye kuleta maneno ya Uchochezi na kuwatupa Ndani kwa mahojiano

    Wewe ndiye Wakumbozi, unaeaibisha Mkoa mzima, mpaka nashangaa hii Akili inayotoka tumboni badala ya kichwani.
  6. mkulima gwakikolo

    JamiiForums Tanzania BANDARI: Unyama unaofanywa siyo mpya, lakini haki itasimama

    Siku zote Aina ya ubongo wa mtu kama,ni konokono,ama mavi ya kale,ama viwavi,ana udongo mfinyanzi nk nk,ni maneno tu yamtokayo, Hapa ubongo huu umewakilisha mavi mabichi...
  7. mkulima gwakikolo

    JamiiForums Tanzania Wakili Mwabukusi, Emmanuel Masonga na Mdude Nyagali wakamatwa na Polisi Mikumi wakiwa safarini kuelekea Dar es Salaam

    Kuna wakati Mwingine hata mavi hufikili badala ya ubongo.
  8. mkulima gwakikolo

    JamiiForums Tanzania IGP Wambura awaonya vikali wanaotaka kuandamana, asema huo ni uhaini akitaka "Wakome" na Wasitishe matamshi yao ya Kichochezi...

    Boss usiteme, si uliwapa na hongo? Ulivyo bichwa kubwa, ulitakiwa utoke hadharani utoe uthibitisho wa ulichowahonga .Shenzi kabsaa wangekunya debe!!
  9. mkulima gwakikolo

    JamiiForums Tanzania Wakili Boniface Mwabukusi amjibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, asema wakitaka wafute kuanzia cheti cha shule ya msingi

    Ukweli uliomchungu, vyeti kitu gani Bon, Kuna watu wanavyeti wala hawana ajira wameamua kulima na ujasiliamali siku znaenda, Simamia unachoamini ,Mtu duniani ni Story "utakua Story mbele ya mabalaza ya haki siku za mbele." Ndivo dunia inataka. WEWE SHULE ilikukomboa kikweli kweli ,misimamo hii...
  10. mkulima gwakikolo

    JamiiForums Tanzania Wajinga na wanafiki Wanapozurula nchi nzima kutaka kuwaelimisha Wananchi

    Mwalimu aliuza Rasilimali z nchi? Kuna gesi Mtwara mlipiga wananchi mkavunja viuongo wakitaka Masilahi mapana ya gesi, huku mkilaghai eti gesi itashusha gharama ya maisha na umeme .Mkapeleka mkataba bungeni wa kuuza gesi kwa Wageni kwa hati ya dharula, leo Gesi inatufaidisha nini?? Mumenda sasa...
  11. mkulima gwakikolo

    JamiiForums Tanzania Ni uwendawazimu na ukichaa kuyaamini maneno yanayotoka katika mdomo wa Tundu Lissu

    Wewe midabwada ,bwabwaja!!
  12. mkulima gwakikolo

    JamiiForums Tanzania Ni uwendawazimu na ukichaa kuyaamini maneno yanayotoka katika mdomo wa Tundu Lissu

    Kwahyo pale bungeni bunge lenu,lilisimamia mkataba au makubaliano?
  13. mkulima gwakikolo

    JamiiForums Tanzania Ni uwendawazimu na ukichaa kuyaamini maneno yanayotoka katika mdomo wa Tundu Lissu

    Jibu hoja ya Dp world, wewe unamtazamo gani?
Back
Top Bottom