Recent content by mkukurukaji

  1. mkukurukaji

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa vyama vya upinzani kuhusu uchaguzi

    hao ni sikio la kufa sijui kama watasikia ushauri wako
  2. mkukurukaji

    JamiiForums Tanzania Undumilakuwili wa Mbowe na mustakabali wa Chadema

    Katika chaguzi ndogo zilizopita Mbowe na Chadema yake waliwahi kujitoa kushiriki katika uchaguzi mdogo na uliofuata walirejea tena na kushiriki uchaguzi wa Buyungu na juzi wa Ukonga na Monduli. Wakati alipotangaza kususia alitoa madai kuwa uchaguzi haukuwa huru na wa haki na kuwabebesha mzigo...
  3. mkukurukaji

    JamiiForums Tanzania Je, Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ana kinga ya kutokushitakiwa?

    Waambie hao wanasheria wa Kimataifa waendelee na kuuza maduka ya supermarket huko waliko na hao unaowaita wadau wako inaonekana mmekosa kaz ya kufanya.Mi nakushauri uwaambie hao waliokutuma mwende mkamsaidie Mbowe kujenga chama alinde ruzuku zake coz mnaonekana mnaingilia kaz za watu ambazo...
  4. mkukurukaji

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ipo kweli? Maana haijulikani kinachopigania

    Ni ngumu sana kufanikiwa kama huna dira na malengo ya kazi yako
Back
Top Bottom